Simara
JF-Expert Member
- Oct 1, 2014
- 7,561
- 23,991
Wengine ubabe ubabe tu hakuna kubembelezana.
Umenuna utajijua mwenyewe.
Mimi wa hivyo aniache tu…. maana atanitesa
Wengine ubabe ubabe tu hakuna kubembelezana.
Umenuna utajijua mwenyewe.
Hajali kabisa .Mimi wa hivyo aniache tu…. maana atanitesa
Uwiiiinimeona huu mshono nikakuwaza wewe Saint Anne .
nzuri sanaUwiiii
Mshono mzuri ila nikivaa hilo nadondoka akiyanani
Woodworking aseeFun indeed
so what else do you enjoy learning ?
ukiona hakumbelezi ni wazi hakupendi ..yupo anayebembelezwa 24/7 .Hajali kabisa .
.
Hata ajiongeze kwamba hapa nahitaji kubembeleza
Sio kila mtu anaweza bembeleza aseeukiona hakumbelezi ni wazi hakupendi ..yupo anayebembelezwa 24/7 .
wow , amazingWoodworking asee
Aisee Kuna comforting kidogo tu inatosha sio ujifanye kauzu .Sio kila mtu anaweza bembeleza asee
Hobby, it's goes along na cookingwow , amazing
so you do it as a hobby or a business
Depends na makuzi ya mtuAisee Kuna comforting kidogo tu inatosha sio ujifanye kauzu .
Ooh my, I love cooking too .Hobby, it's goes along na cooking
Kweli eeeh?ukiona hakumbelezi ni wazi hakupendi ..yupo anayebembelezwa 24/7 .
yeah hiyo ina affect somehowDepends na makuzi ya mtu
Yeeeeh ukipenda chakula kizuri, jifunze kupika mwenyeweOoh my, I love cooking too .
wanasema wanaume ni wapishi wazuri sana .
Ndio dearKweli eeeh?
Hajali kabisa .
.
Hata ajiongeze kwamba hapa nahitaji kubembeleza




ooh hakikaYeeeeh ukipenda chakula kizuri, jifunze kupika mwenyewe