Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 43,246
- 90,426
hahahaha,tulitoka nduki kukimbia umandewewe unajua lugha nyingi rafiki
shule hujakimbia
hahahaha,tulitoka nduki kukimbia umandewewe unajua lugha nyingi rafiki
shule hujakimbia
kweli irudiwee fastaIrudiweee
Irudiweee
Irudiweeeee....
Achana nao hao sweetheat wananionea wivu kipenziBora kaka umesema maana..🙌
mshachaguana? Sasa sie wazee itakuajeAlayna ni wangu tuu hata mniuueee😜
hahahahaha, huyo nae si kawahiwa tayari?Tinsley anakufaa kabisa huyu chief
Mahali yake napokea mimi
mkuu Mjep njoo kaishakataa hukulol 😂😂 😂
nimeamka poa kbssijajaongea neno mie
hebu ongea na wazee
vipi umeamkaje ?
hao akina mjep na wengine utawakuta hapa mjini .nimeamka poa kbs
wazee akina nani na wako wapi?
mmh,wajomba wa mji hao,unaeza kuta nae mmliki wa jimbohao akina mjep na wengine utawakuta hapa mjini .
nani kakuruhusku ule chakula cha mme wangu![]()
hofu yako tu 😂😂mmh,wajomba wa mji hao,unaeza kuta nae mmliki wa jimbo
ndege huwa yukoje?hofu yako tu 😂😂
nipo kama ndege 😂