Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 72,009
- 177,304
Nimemiss na macho manne mie nifanyeni wepesi na Nkamu gwako pullliiizzzzzzzzzzzzzzz;Ngoja nikayatese Yale matakataka Chelshit,Arse8,Nyumbu na man shtye tuliowanyuka teke.
Nimemiss na macho manne mie nifanyeni wepesi na Nkamu gwako pullliiizzzzzzzzzzzzzzz;Ngoja nikayatese Yale matakataka Chelshit,Arse8,Nyumbu na man shtye tuliowanyuka teke.
😀Wakati unashinda naye huko muda wote
Mjep atupieNimemiss na macho manne mie nifanyeni wepesi na Nkamu gwako pullliiizzzzzzzzzzzzzzz;
Uanze wewe mdogo ake then kakamkubwa anafunga hesabu! Haya fanya hima nasubiria hapa 🙇🙇Mjep atupie
Tukitupia wote yatakuwa nane,tutawapofusha
hahahaha,wapi?Kamatia hapohapo Chief
Uanze wewe mdogo ake then kakamkubwa anafunga hesabu! Haya fanya hima nasubiria hapa 🙇🙇
Aunt kumbe tunashinda wote na hunambii?🤣
Sinapicha mpya kipenz kesho inshallah
Lippss na jicho jamani 😌😌😌😌!!
Aunt kumbe tunashinda wote na hunambii?🤣
Kushandarizehahahaha,wapi?
Jamani vibaya hivoo ujue!!Sinapicha mpya kipenz kesho inshallah
Natupia mdogo wangu usitokeeMjep atupie
Tukitupia wote yatakuwa nane,tutawapofusha
😂😂😂Nilitaka nikuulize wew kwanini hunishtui nawakati tunashinda wote 😂Aunt kumbe tunashinda wote na hunambii?🤣
Anza wewee then nkamu akee!! Nimemiss lile jichoo kareeee Jicho linaitaaa 💃💃Macho yote 8 hapana
salama kbs bosi ledimtu chake habare ya saii ✋!!
Na mm nasubir selfie Yako sema boss sikuhiz napishana na vocha balaa kesho fanya kuniitaNatupia mdogo wangu usitokee
Aunt wewe unasiri sana mi sijapendaa😁😂😂😂Nilitaka nikuulize wew kwanini hunishtui nawakati tunashinda wote 😂
Usikute nduguzetu washapiga vyombo saa hii