livafan
JF-Expert Member
- Oct 20, 2016
- 2,973
- 5,629
habari ya Jtatu
Mungu ni Mwema mkuu , napambana na hali yangu, hofu kwako
habari ya Jtatu
😂😂😂 Em KwendraaaNilitaka kushangaa chawa sina habari heee🤣🤣
Mwenyewe nimemmiss.Atafurahi kukuona, ngoja nimwambie kuhusu ujio wako akuandalie Kuku wa kukuchinjia.
Bibi yako licha ya kuzeeka kama Mimi lakini bado anapenda Ice cream 🍦, nitamchukulia Jioni nikirudi shambani
😂😂😂😂 fyuuMguu softiiiii
Aah wacha Momo beib achanganyikiwe tu, sio kupenda kwake🤣
Sitakiiiiiiiiiiiii😂😂😂 Em Kwendraaa
Afu ungejua tumekaziwa wasap na momo 😎Sitakiiiiiiiiiiiii
Kwetu iringaWapi huko?
Heee kisa?Afu ungejua tumekaziwa wasap na momo 😎
Hata sijui kisa mie…Heee kisa?
Najua tu wewe umemkorofisha, em muombe msamaha upesi shem darling.
Tarehe hizi hua hatufanyi ukorofi you know😂😂
Ooh Mimi nilipata shida sana aisee sabbu muislam alafu kijijini Kuna bucha ya nguruwe tuKwetu iringa
That new dress 😍😍Nimeota kitambi hadi jau Lenie View attachment 2396323
Hata sio hiyo pyeeeThat new dress 😍😍
Em nione full look kama kishunde nacho kimeota
Ooh Mimi nilipata shida sana aisee sabbu muislam alafu kijijini Kuna bucha ya nguruwe tu
Nitamfata niongee nae, hanaga shida yule shemu wanguHata sijui kisa mie…
Naacha kama yanavyoenda, ain't swallow my pride 😔
😂😂 tarehe my foot
Yaani una jeuri, wakati mke mwenza huko anasubiri picha aone kazi nzuri aliyotenda 😂😂Hata sio hiyo pyeee
Ya mke mwenza sijavaa 😂😂 nimeamka asubuhi mawazo yamebadilika..
Nina flat nchi 24 bana 😎
😀Ningeipiga tu auntie alafu nasikia ni dawa et😂😂😂Mara mojamoja si mbaya unajichanganya unakula Auntie
Helloowww babu!! Leo hujatupa msemo lakini babuu Umependeza sana very smart!!View attachment 2396229
Hello Monday 🥂
😂 kafanya kazi nzuri kweli lkn inampasa atulie.. am not a photogenicYaani una jeuri, wakati mke mwenza huko anasubiri picha aone kazi nzuri aliyotenda 😂😂
Flat ndio yenyewe hyo👌
Dawa ya nini??😀Ningeipiga tu auntie alafu nasikia ni dawa et😂😂😂
😂Sawa nikienda Tena nitakwambia wanipe😂Dawa ya nini??
Ila inakuwaga taaamu