Fortnox
JF-Expert Member
- Jul 23, 2019
- 3,160
- 11,214
Mmh nyie wa humu hamuaminikiUsifanye hivo mtoto mzuri ndio sisi wa mitaani jamani msitutenge
Nacheka kama mazuri walaii
! Kwa experience yangu ndogo kiukweli Humu better not dear!!
Vingine ni too muchHatuwezi
Labda Kama hatuwapendi..
Ukipendwa sana na mwanamke hivyo vituko ni Kawaida kuvipata.
Kwa hizo swagger tu ushamkosaaaa!! Au nasema uongo Tinsley ??😁😁😁😀😀😁;Kaa kwa kutulia mjumbe, [mention]Tinsley [/mention] mimi ni mtumishi kabisa, kwa Mwamposa hunikosi mama, just say YES is much enough for today
lol , naendaga kwa mwamposa pia , omba Mungu atukutanishe huko viwanjani mpendwa 😂😂Kaa kwa kutulia mjumbe, [mention]Tinsley [/mention] mimi ni mtumishi kabisa, kwa Mwamposa hunikosi mama, just say YES is much enough for today
hahahaMmezidi![]()
Ni mwendo wa kuogopana tuMmh nyie wa humu hamuaminiki
ngoja tupambane na wa kwenye mwendo kasi .
Noma sanaNi mwendo wa kuogopana tu
Marhaba hujambo bintiCaptorhinomorphs shikamoo

Aisee tuna kazi mnoohahaha
mtuelewe jamani
mtudekeze tu hakuna namna![]()
habari Ni Safi Sana nimefika poa my hom town Cha ajabu Sina usingizi leo nitakua mlinzi wa jukwaaNoma sana
vipi habari ya leo ?
pole sanahabari Ni Safi Sana nimefika poa my hom town Cha ajabu Sina usingizi leo nitakua mlinzi wa jukwaa