Fortnox
JF-Expert Member
- Jul 23, 2019
- 3,160
- 11,214
Babe arsenal? Hana gubu kweli? Jana na Chelsea yako striker broja Mhindi ulitegemea utashinda kweliArsenal ya babe.. mimi chesii![]()
Babe arsenal? Hana gubu kweli? Jana na Chelsea yako striker broja Mhindi ulitegemea utashinda kweliArsenal ya babe.. mimi chesii![]()
Download audio Bible basi unakuwa unafuata tu chini wewe .Biblia labda mtu awe ananisomea namsikiliza wengine kusoma Soma huaga hatupendi tuu
Pandisha kidogo bhas
Mwambie huyooo asituangushee kizembe!!Komaa mwanawane
Ndege mbona wako huyu
Hebu muache madam wetu 😂😂😂, [mention]Tinsley [/mention] tatizo ni huyu [mention]Antonnia [/mention] , lengo lake sio poa kabisa, hataki watu kuwa paired , anavurugua tu.
Baby [mention]Antonnia [/mention] what is ups down there lol ?![]()
Utelezi kwanza sie tunatakaTupo tunaeleweka 😂😂😂
Au mtu aweje ?
Safi Sana kijana wangu Sasa umekua.Ndio narudi nyumbani, toka limeanza nimekuwa kama mzee wa kanisa![]()
Samaleko sheikhPandisha kidogo bhas
Juu juu hapo
But ukiwa unampenda unaona hzo mood swings zake ni kawaidakubwa sana mnayo
kuna jamaa mmoja mkewe anadeka huyo akiumwa tu mafua ni kulalamika tu .
Tuliza mshono bhasmbona genge la wahuni![]()
Hata Atheno leo hawana kelele za kileleni
tip shell ndo yupi huyo ?Kabisa dogo langu
Kama yule wa kuacha tip shell
Sio mtu mzuri
mzima dear 😍Poa Tin
Gubu ni nini kwanza ili nijue kama analo au hana 😂Babe arsenal? Hana gubu kweli? Jana na Chelsea yako striker broja Mhindi ulitegemea utashinda kweli
AwesomeSijambo thana
Shemeji huyoPoa Tin

loh kumbeUtelezi kwanza sie tunataka
Mie niite shangazi au mamdo sio baby pullliiizzzzzzzzzzzzzzz!!, [mention]Tinsley [/mention] tatizo ni huyu [mention]Antonnia [/mention] , lengo lake sio poa kabisa, hataki watu kuwa paired , anavurugua tu.
Baby [mention]Antonnia [/mention] what is ups down there lol ?![]()
Mshono una ganziii… hauna hata makekeTuliza mshono bhas
Akwee kileleniMwambie huyooo asituangushee kizembe!!
Nitajaribu kutafuta nasikia kitabu Cha wimbo ulio Bora ndio Cha kuanza nachoDownload audio Bible basi unakuwa unafuata tu chini wewe .