Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,817
- 233,249
Mimi hata hela sinaWe chap tu
Mie hadi nitulie nipate mtu sio leo 😂😂😂
Mtu sijui namuokotea wapi mjini hapa
Mimi hata hela sinaWe chap tu
Mie hadi nitulie nipate mtu sio leo 😂😂😂
Naam Saint Anne"Ni Yeye"
BUSH BIN LADEN
Mimi pia sina helaMimi hata hela sina
Mtu sijui namuokotea wapi mjini hapa
Saint AnneAmen
Hela si muhimu kabisa
Inachohitajika ni Mungu kuwainua zaidi financially na spiritually...hapo mtapata baraka maradufu .
With the blessings that you will receive , i believe nothing is impossible .
Pray for breakthrough in all aspects of you and your significant other .
Huyo ni foodie 😂Kuna mtu anakula parachichi na Mhindi wa kuchoma muda huu hapa jijini mbeya [emoji119
AmeeenAmen
Hela si muhimu kabisa
Inachohitajika ni Mungu kuwainua zaidi financially na spiritually...hapo mtapata baraka maradufu .
With the blessings that you will receive , i believe nothing is impossible .
Pray for breakthrough in all aspects of you and your significant other .
Amekaa muda mrefuSoon ataoa si wajua waislamu hao
I missed you
Perhaps anaona yupo na busy schedule ndo maana hajaoa badoAoe tu
Amekaa muda mrefu
30s bado tu hajaoa
Perhaps anaona yupo na busy schedule ndo maana hajaoa bado
Yeah atawashindia tu ..Shetani anapambana mno kutupiga vita
Tena salah mke wake anajistiri huyoWenzie akina Salah wana wake
Anaturudisha nyumaYeah atawashindia tu ..
Kikubwa mnapendana tu nyie 😍
Wa Mane simpatii picha.Tena salah mke wake anajistiri huyo
Mke kweli kweli
Pole Ila Mungu ni muweza wa yote .Anaturudisha nyuma
Vitamu sema tu wanyaki wanapenda Sana kula kulaHuyo ni foodie![]()
Ila vyote ni vitamu
Hahaha ngoja waje akiongozwa na mama mchungaji.Vitamu sema tu wanyaki wanapenda Sana kula kula
Habari safiii tu vipi hapo dsmHahaha ngoja waje akiongozwa na mama mchungaji.
Habari ya leo ?