Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,818
- 233,249
Hallelujah
Pole Ila Mungu ni muweza wa yote .
Nakupa fungu hili toka waefeso na kitabu cha Isaya
Waefeso 3:20 SRUVDC
Basi atukuzwe yeye awezaye kufanya mambo ya ajabu mno kuliko yote tuyaombayo au tuyawazayo, kwa kadiri ya nguvu itendayo kazi ndani yetu
Isaya 60:11 BHN
Malango yako yatakuwa wazi daima; usiku na mchana hayatafungwa, ili watu wakuletee utajiri wa mataifa, pamoja na wafalme wao katika maandamano