FK21
JF-Expert Member
- May 27, 2019
- 8,922
- 11,314
Nikajua ni mwalimu wa Fedha shule flani [emoji16] jokeHahahaha napenda vaa hvo tu,, nothin else
Nikajua ni mwalimu wa Fedha shule flani [emoji16] jokeHahahaha napenda vaa hvo tu,, nothin else
[emoji16][emoji16] Kawaida bro,,Mwalimu typically
Kipindi nafanya TP assessor alikuwa ananizungua mno wewe ni mwalimu au ni Fashionist
Akaniambia mwalimu hutakiwi kwenda na wakati unatakiwa uwe mshamba kidogo
Sorry boss[emoji846]
JaribuCan't keep calm 😂😂
Mimi sijui nijilipue tuIn God's timing
Bado nipo kwanza 😂
Alright all the best[emoji16]I know being a single mum is hard .
Lakini hakuna jinsi ikipenya , tayari unalea zako ur mini me .
Yote yawezakana sisi wanawake , tunaweza pia [emoji7][emoji7]
Hapo nimetoka church mzee[emoji16]Nikajua ni mwalimu wa Fedha shule flani [emoji16] joke
Lol , jilipue tu 😂Mimi sijui nijilipue tu
Mane is such a blessing .Nikiwa mkubwa,natamani niwe na mtoto kama Mane Insha'Allah
Ni mtu na nusu huyu jamaaMane is such a blessing .
Jinsi anavyojitoa kwa ajili ya watu wa kwao .
Lol , jilipue tu 😂
Ningekuwa nako angenifariji nyakati hizi .
Ewaa ikawe heri 😍😍Ngoja nikqjaribu
Kumbe hajaoa aiseeNi mtu na nusu huyu jamaa
Halafu hajaoa bado.
Sijui anasubiri niniKumbe hajaoa aisee
Yupo zake kazini kwanza
Happy Sabbath masterHapo nimetoka church mzee[emoji16]
Soon ataoa si wajua waislamu haoSijui anasubiri nini
AmenAmeeeeeeen
Mtumishi tayari yupo,
Hela tu hazipo
We chap tuAmeeeeeeen
Mtumishi tayari yupo,
Hela tu hazipo