Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Nasema hapana
Tena hapanaaaa
Wanavunga tu mkuu wangu
Lile li profesa Muhongo limekaa ulaya huko miaka tele lakini linapiga kiswahili vizuri tuu tena kimenyooka chief
Bro nna wadogo zangu 2 wanaosoma Uganda,, wanarudi Tz mwezi wa12 tu,, ni wanapata taabu kweli kweli kuongea kiswahili, kama sio kiganda fluent au kiingereza basi wachanganye kiganda na kiingereza,, wakiongea kiswahili utacheka ufe

Muhongo amezaliwa hadi on his late twenties yuko bongo hawezi pata shida kuongea kiswahili na alienda kusoma tu, sio kuishi,, pata ile mtu from secondary to masters ameishi nje,,
 
Hao wameanza kuishi huko wakiwa wadogo
Ni sawa wao kuwa hivyo

Back
Top Bottom