Tinsley
JF-Expert Member
- Nov 16, 2020
- 14,590
- 38,225
Magari haya ya Mbezi yananichanganya nimepanda tu siyaelewi mie 😂 .. binti maulizo nipo hapa .Ukizipata utasema
Siongei chochote bila picha zako🙂
Magari haya ya Mbezi yananichanganya nimepanda tu siyaelewi mie 😂 .. binti maulizo nipo hapa .Ukizipata utasema
Siongei chochote bila picha zako🙂
Umemkubali sasa 😂😂😂😂Ngoja aje aweke picha mumuone
Leo yamekuchanganya na nini?Magari haya ya Mbezi yananichanganya nimepanda tu siyaelewi mie 😂 .. binti maulizo nipo hapa .
Wewe ndiye unamkkwamisha maana hutaki kuweka picha zakoMfanyie wepesi Tinsley pullliiiizzzzz!!
Tulikuwa tunawazugaUmemkubali sasa 😂😂😂😂
Yani haya ya makumbusho ,Ila yameandikwa mloganzila -makumbusho .Leo yamekuchanganya na nini?
ZimefutikaaaaWewe ndiye unamkkwamisha maana hutaki kuweka picha zako
Wigelekelo hongera Sana kwa kuchukua Jimbo ....hatimaye Anne mwenyewe kakubaliTulikuwa tunawazuga
Ndo huyo nilimpost jana
Ubarikiwe sana binti mwenye kiuno chakeMorning Chief
Anajitoa Ufahamu namtizama tu!!Weh ndio Mimi namchora tu Anne hapa .... Usingizi umenikosesha picha dah
Wige hana mpinzaniWigelekelo hongera Sana kwa kuchukua Jimbo ....hatimaye Anne mwenyewe kakubali
Tubariki na selfii yakoUbarikiwe sana binti mwenye kiuno chake
Weee Tinsley wa jana usiku sio wigeeee weeeeeee.. Wige sio shombe shombee
acha basi 🙂🙂🙂 dada nimeacha kutamani tayariKunitamani dada ako ni kosa
Anne tunakumbeleza muda wote huuAnajitoa Ufahamu namtizama tu!!
Wige hana mpinzani
Anne tunakumbeleza muda wote huu