Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Jamaa limekaa Ulaya limezunguka mataifa kibao huko linaongea lugha za huko lkn linachapa kiswahili kimenyooka kama rula
Sospeter anaongea kiswahili
Ila sisi wa Kwa madonge kwinama tumeng'ang'ana na broken English
 
Braza Mahondaw anasema kuwa eti umesahau humkumbuki kabisa.

Ni kweli au anatupiga kama tu huyu Madame??
Au alitaka umtaje tu😃🏃🏾‍♀️🏃🏾‍♀️
Kumbe Unaongelea Mahondaw hapo sihusikiii 🚶🏼‍♀️🚶🏼‍♀️🚶🏼‍♀️!Dog Napika mie mkimaliza mnistue
 
Tutakustua na CC
Braza anakuja nazo

Na yule mjanja anayetembelea nyota ya jina lako mlilolijenga wewe na braza Kwa jasho na damu Kwa miaka zaidi ya 9 ..aisee sisi na braza tunamnyang''anya jina.
 
Tutakustua na CC
Braza anakuja nazo

Na yule mjanja anayetembelea nyota ya jina lako mlilolijenga wewe na braza Kwa jasho na damu Kwa miaka zaidi ya 9 ..aisee sisi na braza tunamnyang''anya jina.
Hayo hayanihusu mimi dog mambo yenu nawaachia wenyewe 😁😁🚶🏼‍♀️🚶🏼‍♀️🚶🏼‍♀️🚶🏼‍♀️🚶🏼‍♀️!!
 
📷
20221021_185927.jpg
 
Hayo hayanihusu mimi dog mambo yenu nawaachia wenyewe 😁😁🚶🏼‍♀️🚶🏼‍♀️🚶🏼‍♀️🚶🏼‍♀️🚶🏼‍♀️!!
Unamdis ila unamkubali kiaiana
Unamkubali kiainaaaaa

Yeeah yeah CC irudi mizuka irudi mpaka watu tushangaeee
Narap tu wimbo wa Child Benz
 
Back
Top Bottom