Asante boss lady the beautiful MC 😍😍😍Niliosimama full ile mchana siioni ila full yake iko hivo chini ni mshazari ulioachia sana wenye mpasuo mrefu paja la kushoto! Lenie
Hii nimewahi tajiri yangu
Haina noma mr vocha!✌️Asante boss lady the beautiful MC 😍😍😍
Kweli nimeona nilivyostahili kuona
Leo ningezimia kuikosa hii
Mwehh saivi nimeishaaa dear!! Asante 😘
Hahahaa usicheze mbaliHii nimewahi tajiri yangu
Asante kwa kunijali
Nasubiri ya kwako tu sasa ukisoma yale magazeti yenu
Nakuja ccy
Pole sis tatizo nini???Ccy naumwa acha kabisa
Aiseeeeh🤣..Twende kilioni tu then kwa chini unanyoa Afro
Ccy yule mgonjwa wangu (aunt) amekatwa mguuu mim nawaza hadi bichwa linaumaPole sis tatizo nini???
Polesana kwake aiseeCcy yule mgonjwa wangu (aunt) amekatwa mguuu mim nawaza hadi bichwa linauma
Pole,Ccy yule mgonjwa wangu (aunt) amekatwa mguuu mim nawaza hadi bichwa linauma
Asante Aunt anguPolesana kwake aisee
Dah! Too sad poleCcy yule mgonjwa wangu (aunt) amekatwa mguuu mim nawaza hadi bichwa linauma
Yani mkuu acha kabisa ni hivo na hospital za serikali nmeamini hakuna kitu kabisa
Asante sanaDah! Too sad pole