Aaliyyah
JF-Expert Member
- Mar 20, 2022
- 19,994
- 48,498
Doh mzuri balaaChat na picha
Doh mzuri balaaChat na picha
😍Doh mzuri balaa
Upo uzunguni wapi huko kwenye hayo makorokochoFurahi dayView attachment 2393718
Poa love! Mambo yalienda poa kabisa tulimaliza Salama!
Hapa hapa Duniani mchumba😄Upo uzunguni wapi huko kwenye hayo makorokocho
Sema ni wapi na mm nionje hayo madudeHapa hapa Duniani mchumba😄
Weka ya karibu nione kiuno mchumba😊St.Anne
Sipo Tz mchumba!Sema ni wapi na mm nionje hayo madude
Hahaha..........hapo lazima wakija waoaji walipe Ng'ombe za kutosha Babu arejeshe Vito vyake anavyotumia kumpamba Mjukuu wake 🤸🤸🤸Basi niletee na ya waist babu, nijifunze kuvaa😊
Kiunoni yupo JuniaWeka ya karibu nione kiuno mchumba😊
Huyo pembeni nani tena?☹️Kiunoni yupo Junia
Pametanuka
Ndio babuuu😅😅Hahaha..........hapo lazima wakija waoaji walipe Ng'ombe za kutosha Babu arejeshe Vito vyake anavyotumia kumpamba Mjukuu wake 🤸🤸🤸
Ahaaa ok😄Najua haupo
Ndo maana nauliza
Kwani hutaki mie nikwee mwewe?Ahaaa ok😄
Mwakani lazima ukwae mwewe, naanda mazingira!Kwani hutaki mie nikwee mwewe?
Album yote Anne sherehe Ilikua ya wanafunzi haikuwa yanguMimi nasubiri Album ya picha