Tinsley
JF-Expert Member
- Nov 16, 2020
- 14,590
- 38,225
Kwani uongo , nashukuru sana boss Putin .Nitake radhi ww binti![]()
Ubarikiwe
Kwani uongo , nashukuru sana boss Putin .Nitake radhi ww binti![]()
Kesho si ndiyo leo? Basi sawa.Asante 😂 kesho napita naked
Niko poa nimeamka vibaya Leo fanya kunitumia kabarua nipone🤦Kesho si ndiyo leo? Basi sawa.
Hujambo lkn?
Barua ya mapenzi?Niko poa nimeamka vibaya Leo fanya kunitumia kabarua nipone![]()
Aiseeeh hii unawekaje kijana?sina nywele ila nataka niweke itapendeza sana maana next month navisha binti wa watu pete ,nikiwa ndani ya suit na hii mikia kwa kichwa itakuwa safiiiiii kabisa
Aiseeeh hii unawekaje kijana?sina nywele ila nataka niweke itapendeza sana maana next month navisha binti wa watu pete ,nikiwa ndani ya suit na hii mikia kwa kichwa itakuwa safiiiiii kabisa
fuga tu alafu uzisuke sema huwa napenda iwobi style iyo nililazimishwa tuNaomba nimuondolee hilo ua ili Saint Anne aone gauni vizuri😜Saint Anne hapo vipi??,View attachment 2393495
Mashallaaaah bi LizzySaint Anne hapo vipi??,View attachment 2393495
Iwobi😅 umeniacha mataa,upara,denge ndio najuafuga tu alafu uzisuke sema huwa napenda iwobi style iyo nililazimishwa tu
Wadau wa vochaWadau mpoo??
Nataka nipandishe huu mzigo hapa
Twende kilioni tu then kwa chini unanyoa AfroIwobiumeniacha mataa,upara,denge ndio najua
Uko peke yako madam nakuletea pm fungua pm chapWadau wa vocha
Tukuje hapa .
Ubarikiwe
Chap nakuja Kaka 😍Uko peke yako madam nakuletea pm fungua pm chap
Barua nikutumie pm au hapa hapa?Niko poa nimeamka vibaya Leo fanya kunitumia kabarua nipone🤦
Popote pale nyie mm napendwa 🥰🥰🥰Barua nikutumie pm au hapa hapa?