Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 74,241
- 183,109
Lol basi sawa babu wasalimie sana Vijana wako!Huku nimeambiwa wanachimba Dhahabu, nilikuja kuwatembelea Vijana wangu tu miye 🤪🙊🏃🏃🏃
Lol basi sawa babu wasalimie sana Vijana wako!Huku nimeambiwa wanachimba Dhahabu, nilikuja kuwatembelea Vijana wangu tu miye 🤪🙊🏃🏃🏃
Hahaha........naona inapokea sana Wageni Kila siku, kwahiyo wanabadirishana kila sikuChunya ni kiboko
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji119][emoji119][emoji119] kumbe nawe mgonjwa Wa oral, njoo nkupeShkamoo Daktari
Naomba Oral za kulamba
Wanabadilishana madini???Hahaha........naona inapokea sana Wageni Kila siku, kwahiyo wanabadirishana kila siku
Sawa Mjukuu, na Ile Posa iliyoletwa kwaajili yako tuipokee? Naona Ng'ombe 200 zimeletwa hapa kwaajili yako, nadhani rangi yako imekubeba Mjukuu 🤪Lol basi sawa babu wasalimie sana Vijana wako!
😂😂😂😂Uso kwa uso
Babu naomba unijie na cheni ya dhahabu na mimi nioshe hapa mjiniHuku nimeambiwa wanachimba Dhahabu, nilikuja kuwatembelea Vijana wangu tu miye 🤪🙊🏃🏃🏃
Napeeenda[emoji3][emoji3][emoji3][emoji119][emoji119][emoji119] kumbe nawe mgonjwa Wa oral, njoo nkupe
Santo sana babuu Ipokee kwa mikono miwili kabisa ni ya mjukuu wako mie hapa babuu wamesema wanajipanga vizuri watakuja muwatambue rasmi!Sawa Mjukuu, na Ile Posa iliyoletwa kwaajili yako tuipokee? Naona Ng'ombe 200 zimeletwa hapa kwaajili yako, nadhani rangi yako imekubeba Mjukuu 🤪
Ngoja niwaombe vijana wangu nikuletee gramu 5 uzipeleke Kwa Sonara.Babu naomba unijie na cheni ya dhahabu na mimi nioshe hapa mjini
Vijana wengi wanakuja huku Kila siku kwaajili ya Kuchimba, kwahiyo wanabadirishana tu WanawakeWanabadilishana madini???
Babu kwani kuna sehemu nyingine ya kuvalia cheni zaidi ya shingoniNgoja niwaombe vijana wangu nikuletee gramu 5 uzipeleke Kwa Sonara.
Hujasema ni cheni ya wapi lakini Mjukuu 🤪🏃🏃🏃🏃
Heee kumbe!!🙌🙌🙌🙌🙌 Sasa kama babu yao ulieishi kwingi na kuona mengi unawashaurije kuhusu kuepukana na hilo janga babuu au unawawekea Zana maeneo ya kazi??🤔🤔Vijana wengi wanakuja huku Kila siku kwaajili ya Kuchimba, kwahiyo wanabadirishana tu Wanawake
Sawa Mjukuu, kweli kuzaa raha. Hapo mkiolewa wote najua sikosi Ng'ombe 1500 Baby yenu 🤪Santo sana babuu Ipokee kwa mikono miwili kabisa ni ya mjukuu wako mie hapa babuu wamesema wanajipanga vizuri watakuja muwatambue rasmi!
Babu na uzoefu wakee! Mjukuu wako Naomba unielekeze hizo aina za cheni babu!!Ngoja niwaombe vijana wangu nikuletee gramu 5 uzipeleke Kwa Sonara.
Hujasema ni cheni ya wapi lakini Mjukuu 🤪🏃🏃🏃🏃
Kabisa babu nataka niolewe mapema nizae mapema ibakie kusaidiwa kazi na vitukuu vyako tu babu!Sawa Mjukuu, kweli kuzaa raha. Hapo mkiolewa wote najua sikosi Ng'ombe 1500 Baby yenu 🤪
Hahahaha...........................huwa nawawekea Ile nyimbo ya Starehe ya Ferouzi Ft Prof JayHeee kumbe!!🙌🙌🙌🙌🙌 Sasa kama babu yao ulieishi kwingi na kuona mengi unawashaurije kuhusu kuepukana na hilo janga babuu au unawawekea Zana maeneo ya kazi??🤔🤔
Utafanya vizuri Mjukuu, Babu yako Nina hamu ya kuona Vitukuu vyangu mapema ujue 🙈Kabisa babu nataka niolewe mapema nizae mapema ibakie kusaidiwa kazi na vitukuu vyako tu babu!
Hahahaha................najua basi, nadhani Yule Kaka yako Kwa Mjomba ako alishika hii simu alikuwa ananirekebishia Kalenda itakuwa alitype hayo maandishi 🤪🏃🏃🏃Babu na uzoefu wakeeeee💃💃💃🤸🤸🤸🤸😛😛😛! Mjukuu wako Naomba unielekeze hizo aina za cheni babu!!