Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 89,331
- 176,111
Najua mkuu![]()
Shauri zenu.achana naye huyo...anazingua![]()
Najua mkuu![]()
Shauri zenu.achana naye huyo...anazingua![]()
Karibu nipo Kyrenia nasoma kwenye chuo chao hapo na part time nafanya kazi katika hotel ya Grand Pasha Hotel & Casino & SPA
Hayupo pale,ila kwa ng'ambo yake kuna kijimgahawa kinaitwa wallet,na wenyewe wanajitahidi kiasi
Agent mkokaahapo CIA kuna habari gani mkuu?
![]()
Kujipa moyo kwafaa kwa afyaShauri zenu.
Get ready for a suprise my dear.
Lakini si MaikoMungu Fundi
Hahaha tena na utani wa vazi la kitenge.Hahahahahahaha
Akiii wewe utani kabisaa hujuii
Doh! Watu kwa kuzooom....
Mbona sioni mirinda nyeusi jamani kakaAnother scene View attachment 1258849
muone vile, nitakufinya...Joking tu mkuu... Hiyo miji naiskiaga kwenye betting tu apoel nicosia, apollon limassol
Halafu nakudai vitu vingi sana jamani
😀Yaani mi hata sikuona mwanzo! Mpaka ulivyozungushia!Inaonekana kirahisi tu mkuu