Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Hivi ungo si unafika huko niongee na mshana tufanye mambo[emoji23][emoji23][emoji23]
Sure, hadi kufikia kufanya kazi katika migahawa na mahotel makubwa ya huku ni kwamba life liko so expensive. Hii picha ya chini nilipiga katika ufukwe mmoja unaitwa unaitwa escape beach club

View attachment 1258831
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]jamani eti mama shabani,, ila seriously macho yangu yalivyotua pale kwa meza sura ya kwanza iliyonijia kichwani ni ya Zamaradi..
Sasa mbona wamfananisha "ingizo jipya" na mama shabani...cheusi mangala bado sana kufikia level za udongo wa makka aisee
 
Back
Top Bottom