Hawachi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2018
- 12,010
- 54,201
Nilitaka kushangaa eti wa kwa mtogole mwenzetu umekwea pipa lini 😁😁😁😁Joking tu mkuu... Hiyo miji naiskiaga kwenye betting tu apoel nicosia, apollon limassol
Nilitaka kushangaa eti wa kwa mtogole mwenzetu umekwea pipa lini 😁😁😁😁Joking tu mkuu... Hiyo miji naiskiaga kwenye betting tu apoel nicosia, apollon limassol
We na lemutuz. Ni damu damu kwenye upande wa kula lebataz.Tambueni uwepo wanguView attachment 1258850
Mekununiaa mimiiiMama mchungwaji![]()
Teh teh teeeeh!Unnnh...nuh
Haya mama.endiwooo leo nimeona
😀Yaani mi hata sikuona mwanzo! Mpaka ulivyozungushia!



badi manazi yu no
Hahah sijasema hivyo...
Maana yangu ingizo jipya na zama wako tofauti kabisa...
Nilitaka kushangaa eti wa kwa mtogole mwenzetu umekwea pipa lini 😁😁😁😁
muone vile, nitakufinya...
Mmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmh!
Wow! una rangi nzuri

hapa ulikuwa unaenda au unarudi?Sure, hadi kufikia kufanya kazi katika migahawa na mahotel makubwa ya huku ni kwamba life liko so expensive. Hii picha ya chini nilipiga katika ufukwe mmoja unaitwa unaitwa escape beach club
View attachment 1258831