Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji3][emoji3]Enzi zangu
Life was good
Ila mpaka sasa kilichoongezeka watoto tu ila safari bado nazunguka kila nikipata mda

Ila sura bado hujanishawishi lakini ntaweka siku moja nijilipue tu [emoji1]
Hauweki sura yote,
Unaweka unajiziba na emoj kama wanavyoweka wadau
 
Kuna siku mdada aliweka imoji usoni jamaa akamwambia yaani unajiona umeficha sana uso

Niitoe akaambiwa Toa
Kilichofuata mods waliiondoa maana alilalamika sana
Kuna wataalamu humu wanawachora tu
Ngoja niangalie angalie picha zenu kwanza haha
Sijawahi ona mtu anatoa emoj ya mtu tangu huu uzi umeanza hadi leo.
 
Back
Top Bottom