Valentina
R I P
- Oct 12, 2013
- 24,688
- 28,834
Nimeselfika toka alfajiri jiraniNa wewe uselfike mrembo
Nimeselfika toka alfajiri jiraniNa wewe uselfike mrembo
Airtel yako amechukua Saint Anne mdaiMjep braza vocha niweke mjini mdogo pangu pakavu na ka Airtel
Uwiii nywele, itabidi niwe nacrop kichwa maana saivi nikipost hata robo nywele basi utanijua tu hata unione kwa mbali🤣Hips ya mchongo 😂
Na mimi nitaanza kuangalia nywele..nitakugundua tu.
Kuna siku nakuwa nimetoka late na gari zinakuja kwa manati.
Kwenye vurugu la kuvuruga foleni huwa najichanganya hapohapo..Hadi waje wanyoshe foleni mimi nishapenya..
Uzuri nina kimwili kidogo,,najipenyeza kwa mabonge.
Kwenye yale maungio hapana bugudha kabisa..ndipo huwa nawahi.Uwiii nywele, itabidi niwe nacrop kichwa maana saivi nikipost hata robo nywele basi utanijua tu hata unione kwa mbali🤣
Na ukitaka uingie kirahisi kwenye mwendokasi basi jipenyeze katikati fastaa unajikuta ushasukumwa ndani unatafuta bomba unashika zako unatulia
Unasukumwa ndaniUwiii nywele, itabidi niwe nacrop kichwa maana saivi nikipost hata robo nywele basi utanijua tu hata unione kwa mbali
Na ukitaka uingie kirahisi kwenye mwendokasi basi jipenyeze katikati fastaa unajikuta ushasukumwa ndani unatafuta bomba unashika zako unatulia

Kichwani nishabadili saivi nipo tofauti 😂Kwenye yale maungio hapana bugudha kabisa..ndipo huwa nawahi.
Hata ukicrop bado ile picha yako full niliitunza.
NdiooooUnasukumwa ndani![]()
mwendo wa ngamiaa? Mzigo gani huu mbolea au ?Wanaume kazini View attachment 2390776
Hata mtandao wake hausomi hahaha!Airtel yako amechukua Saint Anne mdai
Hapa nimebaki na tigo tu
Sura ni ileileKichwani nishabadili saivi nipo tofauti 😂
Naomba mbolea mifuko mitatuWanaume kazini View attachment 2390776
Estugo wetu😍😍Mjep au nisiingie class
Au niende FDC nikatafune miwa
Au niende stend nikanywe togwa
Au basi,View attachment 2390798
HahahaaSura ni ileile
Uhea wa kipilipili hikihiki?Weeeeh..sijawahi liona ..nilionaga uhair tu..😍😍..Anne ana balaa kubwa huyu
Jicho la kutishia watoto wasumbufu.Kiuno nyiguuuuuu💃💃💃💃! Jicho lake ushaliona??? Jicho kama kala kungu vilee watu weuuuuweeeeeehhhhhhh 🤸🤸
Uhea wa kipilipili hikihiki?
Huwa nasahau kama ninazoEstugo wetu
Mbona umeziba dimples

Master telegram unafanya nini pisi kama weweHata mtandao wake hausomi hahaha!
Sasahivi kugombania siwezi.
