Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Si ajabu huwa tunapigana vichwa mara nyingi tu kwenye foleni zetu za kina komando mashimo.

Kwa kweli nikichoka huwa sipangi foleni.
Najipenyeza foleni ya kusimama pale mbele napita iwe isiwe.
Mko juu
Mwendokasi zetu za mbezi hamna hata nafasi za kusogeza mguu
 
Poleni sana wana mbezi
Asante, tushazoea wenyewe
Si ajabu huwa tunapigana vichwa mara nyingi tu kwenye foleni zetu za kina komando mashimo.

Kwa kweli nikichoka huwa sipangi foleni.
Najipenyeza foleni ya kusimama pale mbele napita iwe isiwe.
Eeh itabidi niwe nacheki kwa makini, nikiona pisi portable hips don lie najua tu niwewe nitakupa hi.

We mkorofi, unafanya ubabe
 
Asante, tushazoea wenyewe

Eeh itabidi niwe nacheki kwa makini, nikiona pisi portable hips don lie najua tu niwewe nitakupa hi.

We mkorofi, unafanya ubabe
Hips ya mchongo 😂

Na mimi nitaanza kuangalia nywele..nitakugundua tu.

Kuna siku nakuwa nimetoka late na gari zinakuja kwa manati.
Kwenye vurugu la kuvuruga foleni huwa najichanganya hapohapo..Hadi waje wanyoshe foleni mimi nishapenya..
Uzuri nina kimwili kidogo,,najipenyeza kwa mabonge.
 
Back
Top Bottom