Beeb
JF-Expert Member
- Aug 18, 2018
- 29,392
- 59,148
Nibariki mdogo wangu kitambo sijaona kiuno😜Boss ledi wetu unakula bata tu
Nibariki mdogo wangu kitambo sijaona kiuno😜Boss ledi wetu unakula bata tu
😂😂😂😂 Anne ujazo katika ubora wako.Bado yako sasa leo shepu za jumlajumla tu
Vimbaombao wapigwa pasi leo siyo siku yao
Mweh bata wapiiii nilinunua nikajipa raha mwenyewe nyumbaniiii Bushi raha itoke wapi dear!Boss ledi wetu unakula bata tu
Raha popote haijalishi bush Wala wapi mamaa weeeMweh bata wapiiii nilinunua nikajipa raha mwenyewe nyumbaniiii Bushi raha itoke wapi dear!
Anne Mtu mwenye hips lakee anajitoa Ufahamu tu mtoto ana mihips balaa😂😂😂😂 Anne ujazo katika ubora wako.
Kweli kabisaMaisha yanabadilika
Mtoto hatari huyu..alafu kiuno Sasa🔥🔥🔥Anne Mtu mwenye hips lakee anajitoa Ufahamu tu mtoto ana mihips balaa
Wee sema kweli 😂?? Awapii... maisha mnakula wa mujini huko sie huku tunachunga ng'ombe tu!Raha popote haijalishi bush Wala wapi mamaa weee
Kiuno nyiguuuuuu💃💃💃💃! Jicho lake ushaliona??? Jicho kama kala kungu vilee watu weuuuuweeeeeehhhhhhh 🤸🤸Mtoto hatari huyu..alafu kiuno Sasa🔥🔥🔥
😂😂😂 Hata kuchunga n'gombe Napo raha🤣🤣😜..enwei enjoy dear maisha ndiyo hayahayaWee sema kweli 😂?? Awapii... maisha mnakula wa mujini huko sie huku tunachunga ng'ombe tu!
Rumee mbavu zangu please 😂😂😂🤣🤣🤣! kuchunga ng'ombe rahaa awee 🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂 Hata kuchunga n'gombe Napo raha🤣🤣😜..enwei enjoy dear maisha ndiyo hayahaya
Weeeeh..sijawahi liona ..nilionaga uhair tu..😍😍..Anne ana balaa kubwa huyuKiuno nyiguuuuuu💃💃💃💃! Jicho lake ushaliona??? Jicho kama kala kungu vilee watu weuuuuweeeeeehhhhhhh 🤸🤸
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Cheka tu dear..Tena raha mnooRumee mbavu zangu please 😂😂😂🤣🤣🤣! kuchunga ng'ombe rahaa awee 🤣🤣🤣🤣🤣
Weee usithubutuuuu kukutwa walai.. Saint Anne kajua kujaaliwa banaWeeeeh..sijawahi liona ..nilionaga uhair tu..😍😍..Anne ana balaa kubwa huyu
Saint Anne kuanzia leo wewe ndiyo pisi Kali yangu ya selfika😍Weee thubutuuuu kukutwa walai.. Saint Anne kajua kujaaliwa bana
Nakaziaaaa 📌📌📌📌Saint Anne kuanzia leo wewe ndiyo pisi Kali yangu ya selfika😍
Endiwooooo😂..na imepitishwa na Dada boss ledii tonniaNakaziaaaa 📌📌📌📌
Anatumia airtel yule[emoji16]Mwenye number 04[emoji16] Lovie Lovie labda atakuwa
Imepitaaaaa✔️✔️✔️✔️✔️✔️✔️✔️✔️Endiwooooo😂..na imepitishwa na Dada boss ledii tonnia
Usengwileee mlongo wangu😍Imepitaaaaa✔️✔️✔️✔️✔️✔️✔️✔️✔️