FK21
JF-Expert Member
- May 27, 2019
- 8,923
- 11,305
Hongera mimi ninayo ya connection tuBiashara
Mbona hufungui message sasa
Hongera mimi ninayo ya connection tuBiashara
Aloo nipo vuwawaMadonge kwinama Uyole Tukuyu Mwakaleli Mbeya
Naomba link ya connection za ajira basi.Hongera mimi ninayo ya connection tu
Mbona hufungui message sasa
Wasalimie hapo IhandaAloo nipo vuwawa
Njema kabisa. Uwe na siku njemaPoa best, za wewe
😂😂😂😂Pisi Kali..shape limepotea Sina tofauti na vimbaombao..fanya kunibless kiuno na hiyo hips matata banaMweee
Hebu tupia lile shepu matata kwanza.
Kuna vimbaombao watatamani wajinyonge.
Santee dear, you too enjoyyyNjema kabisa. Uwe na siku njema
Hahaha😅😅 sifa zote ninazo ,kumbe nae anapend black men ,sisi tuko sex bhan.Ila ngoja, nina shost angu anaitwa Depal yukogo single muda mrefu sasa na ni pisi kali balaa.
Sijui atakua anazurura mitaa gani saivi
Ila wewe ni tall, dark, handsome? Unae mawe?
Napajua basi nmecheza na beat tuWasalimie hapo Ihanda
Hiyo sentensi ya chini weeeeee humfai shost angu, utamchakaza apaukeHahaha😅😅 sifa zote ninazo ,kumbe nae anapend black men ,sisi tuko sex bhan.
Kuhus mawe ,tutasaidiana kuyachimba tu 😅
Tuone ilivyopotea😂😂😂😂Pisi Kali..shape limepotea Sina tofauti na vimbaombao..fanya kunibless kiuno na hiyo hips matata bana
Wa kishua amekuwa adimu sana. Mfikishie salamu zangu popote alipo tafadhaliIla ngoja, nina shost angu anaitwa Depal yukogo single muda mrefu sasa na ni pisi kali balaa.
Sijui atakua anazurura mitaa gani saivi
Ila wewe ni tall, dark, handsome? Unae mawe?
Nyeupe kama rangi zaoThe ex and wife in one picture
Wazungu wana roho nyeupe .
Nakwambia siku hizi amepandishwa cheo basi yuko busy anasahau hadi kutupa hi hapa kijiweni kwetuWa kishua amekuwa adimu sana. Mfikishie salamu zangu popote alipo tafadhali
Hakika aiseeNyeupe kama rangi zao
Sisi weusi ni mambo yasiyowezekana
Best of all ,msalimie Aunt sophy27 ,nmeamin pisi zko chache sana ,ila pisi kali zko nying nisijeuza mashamba ya urithiHiyo sentensi ya chini weeeeee humfai shost angu, utamchakaza apauke
Hapana nimekataa, endelea tu kutafuta pengine, all the best 😂😂
Hata mimi mwenyewe tu siweziHakika aisee
Sie wabongo , ni chuki tu hapo .
Yahitaji moyo kwa kweliHata mimi mwenyewe tu siwezi