Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,822
- 233,255
Sikumbuki iliisha karne ganiBalehe ikikuisha
Utatulia
Sikumbuki iliisha karne ganiBalehe ikikuisha
Utatulia
Basi nina bahati kumpata atiiiMtengeneze wa kwako
Dunia hii utampata wapi wa hivyo
Tumejaa minyang'au kurarua
Mie mwenyewe nakutamani kinyama
Nikuparue
Kijana wa Yesu
Habari za shule..

ni njema aisee, nipo likizo sasaPretenderBasi nina bahati kumpata atiii
Yupo .
NoUshampata
We ndy unazidi kunichanganya.Estugo mate kidimpo hii Id ngumu sana,, baki na ile ile 🥰
Nani dark skin na nani ana kishundu mkuu? 😄Baba yao mmoja ila wanatofautiana mama
Mmoja ni dark skin yaani kama N'golo Kanté😁 mwingine ana kishundu kama cha Mobeto🤦🏃🏃🏃🏃🏃
Au ndy huyu mrembo mpya Mr Mjep ? 😅Ndio nikuulize wewe bossi wake mr Vocha.. umempeleka nchi gani shoss angu lakini??? Mi mwenyewe namtafuta sana bila mafanikio!!
@Mjep
Sitaona rangi yoyotePretender
Subiri kidogo
Hakuna rangi utaacha ona
Saint Anne hili vipi???View attachment 2388855
Vizurini njema aisee, nipo likizo sasa
Hahahaha ....................ngoja nimwambie Bibi yako anilegezee kidogo 🙈🏃🏃Hello babuu!! Legeza kidogo huo mkanda Huo mkanda umebana sana hapo!☺️
Naelekea shambani, utaweza kulima?🤪Naomba lift mzee wa kaya.
Kilimo gani hicho babuNaelekea shambani, utaweza kulima?![]()

Nalima matikiti Mjukuu, motivesheni spika wamenambia nikilima ekari 5 napata milioni 850 eti 🤪Kilimo gani hicho babu![]()
Asante ☺️Nimekupenda Bure.
Depal njoo umjibu braza hukuNani dark skin na nani ana kishundu mkuu? 😄