Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,822
- 233,255
Umefuta nini
Doing great dear, I hope everything is well with you!Hahaha noma aisee
Vipi how are you
Hello babuu!! Legeza kidogo huo mkanda Huo mkanda umebana sana hapo!☺️View attachment 2389892
Hello Monday 🥂
cocastic ashasemaga hakuna mpya humuuuuu . Akamalizia Jichanganye.....!☺️Ingizo jipya au Mimi ndy mpya?
Good morningwana selfika!!
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Silent viewers 😁☺️!Malizieni basi
Masilent viewer tunasubiri mchane mkeka
Sijamjua hata. Bado Ni mgeni kwanguShauri yako Dr.
Acha kukaririshwaWahuni
Cha wote
Ninayo mimi na Kamanda.
WachaaaKumbe ni kadogo hivyo![]()

Baby old girl 😁😁Baby girl 😗
Ubaoni kwa Rikiboy ......🤣🤣🤣🤣🤣!Acha kukaririshwa
Hakuna(ga) watu romantic na caring kama hii kada
Huko mnakokumbilia mnaumizwa mioyo mnaanza kulia 'oh ningejua sijui kalienda kakarudi'
Neng'enekeni na vinyangema mnapigwa kimasihara
Halafu ubaoni kwa rikiboy Dadeek
Huyo kipara ngoto asinizoee
Mungu mwema ,Doing great dear, I hope everything is well with you!
Jumatatu ina Jua karee hatari !! Tupo bize na maandalizi ya graduu ya form 4 tu dear!Mungu mwema ,
Jumatatu unasemaje ?
Selfie ya kwenye kirikuuUmefuta nini
Monday sucksJumatatu ina Jua karee hatari !! Tupo bize na maandalizi ya graduu ya form 4 tu dear!
Baba yao mmoja ila wanatofautiana mama
Asante dear nawe uwe na siku njema mpendwa!Monday sucks
Maandalizi mema huko
Thank you 😍Asante dear nawe uwe na siku njema mpendwa!