Wigelekelo
JF-Expert Member
- Sep 2, 2018
- 8,765
- 26,902
Ili nikuwoweNiachike ili iweje?
Ili nikuwoweNiachike ili iweje?
Hata kwa kuniroga huwezi 😂Ili nikuwowe
Ivi kirefu cha IT ni niniHata kwa kuniroga huwezi [emoji23]
Niolewe na dereva wa IT hakaliki
Nife presha?
Unataka mwanaume wa kukaa naeHata kwa kuniroga huwezi [emoji23]
Niolewe na dereva wa IT hakaliki
Nife presha?
Hata sijuiIvi kirefu cha IT ni nini
Baby girl 😗
Dereva??Unataka mwanaume wa kukaa nae
Umlee[emoji848]
Kwangu haipo hiyo ebu fanya haraka kuachika
Mbona mnatunyanyapaaDereva??
Hapana.
Wa kukaa naye huku anafanya kazi na kurudi nyumbani.
Tuna kadi yako ndugu msaga kunguni.
Safari iwe njema chief
WahuniMbona mnatunyanyapaa
Dereva hapigi miti[emoji848]
Hajali familia[emoji848]
Ulisikia wapi[emoji848]
Kadi hiyo inahusu nini[emoji848]
Unayo wewe na nani[emoji848]
Tupia na wewe ukiwa kwenye kirikouSafari iwe njema chief
Kumbe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
HelloView attachment 2389892
Hello Monday [emoji1635]
Naomba lift mzee wa kaya.View attachment 2389892
Hello Monday [emoji1635]
Saint AnneLiwalo na liiwee.......
Leo namtangazaaa........🎶🎼
Huyu hapa huyu........👇🕺
Kumbe ni kadogo hivyo[emoji44]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kumbe ni wewe mwenyewe aisee
Mmetuconfuse sijapenda [emoji1787]