TushapigwaTupia Mrembo...
Nikufanishe na avatar yako ili na mimi nijilipue mazima mpaka kwa wakwe....
Hapana..Tushapigwa
Hakikamtaa hauna ht watu,unaeza tupia uko naked na asione mtu
hahahahahaHakika
Morninghahahahaha
Nkamu tunavumilia na tunasaidiana
Sema huku JF kila mtu matawi ya juu,,Hata sisi wa kwa madongo kuinama tunaenda tu na upepo.
Nje ya hapo,maisha ni yaleyale ya kuwavumilia akina Baba mia mbili mbili wanazopata.
Bonjour,naona umeweka kufuli mlangoniMorning
hahahahahaNkamu tunavumilia na tunasaidiana
Sema huku JF kila mtu matawi ya juu,,Hata sisi wa kwa madongo kuinama tunaenda tu na upepo.
Nje ya hapo,maisha ni yaleyale ya kuwavumilia akina Baba mia mbili mbili wanazopata.
Ila wewe dada!

Nimefanyaje tena jamani???😳Ila wewe dada!