Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Pole Ila utakuwa na vinyama lakini .
Maana Dada una mguu wewe

Mie nimepungua vibayaa nimebaki na tumbo tu 😂😂
Mweh Kamera tu dear! Mi mwenyewe limebaki tumbo tu ndio halitaki kuisha wala kupungua imagine!!
Saivii ukiniona kama katoto ka form two uwii!
 
Back
Top Bottom