Tinsley
JF-Expert Member
- Nov 16, 2020
- 14,590
- 38,225
Ningekuwa na picha ningeweka aiseeHapa umetupanga madam🤣
Ningekuwa na picha ningeweka aiseeHapa umetupanga madam🤣
😂😂😂 Hebu tuone kwanza..Tumbo gumu sana kutoka .
Yani kuna kagauni nilivaa kila napopita naulizwa mama kijacho wewe , nikasema oh hoo
Mjep mamboooHapa umetupanga madam![]()
Km Mimi jamanii nna tumbooo balaaaTumbo gumu sana kutoka .
Yani kuna kagauni nilivaa kila napopita naulizwa mama kijacho wewe , nikasema oh hoo
I wish niwe na picha jamaniWeee muongoo T ... Hebu tuoneeee
Muone Tumbo a.k.a kitampi mr Vocha?? 🤔🤔🤔🙆🙆🙆😁! Kesho nikumbushe niweke pozi zuri lakuonesha kitampi make Saivi nikipiga ni kulibana na kutoexhale for few seconds ili stomach lisichomoze sana still linachomozaaaa 😁😉😂😂😂Madam ebu tuone..!
Siku nikipiga nitaweka😂😂😂 Hebu tuone kwanza..
Awapii!! TuoneeI wish niwe na picha jamani
Yani nimekonda chini pwah , nipo figure number 2 .
Lako hilo la uzazi inaelewekaKm Mimi jamanii nna tumbooo balaaa
Sawa dear usisahau kunitagSiku nikipiga nitaweka
Mweh ni aibuAwapii!! Tuonee
Nawashangaa sanaHio kaka kwiooo!
In Wigelekelo voice!
Ngoja Nikarare mbu wapate wakau chochote Kitu!!
See you tomorrow wapendwa!!
Aririririririiiiiiiiiii 💃💃💃💃💃
Lako hilo la uzazi inaeleweka
Sie wengine ni matokeo ya kupenda vitu vitamu .








mnamwagilia tumbo😍😍hottyy
Si upo znz weweHapa umetupanga madam![]()
