Tinsley
JF-Expert Member
- Nov 16, 2020
- 14,590
- 38,225
Duh wa Jf humu nawaogopa .Mbona hupambani kunipata[emoji848]
Mimi sio matawi
Ila jero jero hazinikosi
Ngoja tusubirie wa mitaani .
Duh wa Jf humu nawaogopa .Mbona hupambani kunipata[emoji848]
Mimi sio matawi
Ila jero jero hazinikosi
Tupia bhas[emoji144][emoji144] Nasubiria hapaaa
Tusikatishane tamaa wew kazuri aisee,,Kama hujaolewa punga mkono juuCamera ilinipenda siku hii
Ukiniona live sasa [emoji23][emoji23] ndo utaona vyema .
Tuendelee kuogopanaDuh wa Jf humu nawaogopa .
Ngoja tusubirie wa mitaani .
Chagua nikuwekee part gani rafiki 😉 🤭 Jana ulichelewa ukakuta nishaifuta mekuja kuona asubuhi!!Tupia bhas
Mtuachiage na sieTusikatishane tamaa wew kazuri aisee,,Kama hujaolewa punga mkono juu
Wa kawaida sana , MkuuTusikatishane tamaa wew kazuri aisee,,Kama hujaolewa punga mkono juu
Ile kitu roho inapendagaChagua nikuwekee part gani rafiki [emoji6] [emoji2960] Jana ulichelewa ukakuta nishaifuta!
Weeeehhh Nani kasema???!! Uko so Biurifoooo 😘😘Wa kawaida sana , Mkuu
🙋🏻♀️
Acha kusifia bhasiWeeeehhh Nani kasema???!! Uko so Biurifoooo [emoji8][emoji8]
Usiwaze kabisa rafiki wewe tenaaaaaa 😛! Dakika sifuri nikuchekie kwa gallery hapaaaIle kitu roho inapendaga
Hakuna namna
Wa masaki mizinga mingi na mirefu Kaka tuoneane hurumaMtuachiage na sie
Nyie mafogo muende masaki na ununio
🤣🤣🤣 Nimeacha nimeacha... Anything for youuu rafiki ✌️✌️Acha kusifia bhasi
Watajaa PM
Halafu niwekwe pending
Asante Sana , najiangalia kwenye kioo na kujionea nilivyo .Weeeehhh Nani kasema???!! Uko so Biurifoooo 😘😘
😂😂[emoji91][emoji91] tuma namba niku mpesa hio lips balaa
Niambie auntAunt 😍😍
Asante madamSanto sana mamy .. walau usiku Wangu Utaenda vizuri sasa😘😘!
Mtoto Lippppsss lippss
Yaan mcute Kweli 🥰Camera ilinipenda siku hii
Ukiniona live sasa 😂😂 ndo utaona vyema .