Fortnox
JF-Expert Member
- Jul 23, 2019
- 3,185
- 11,288
Vijana akina Wigelekelo na National Anthem wameshindwa kabisa kukuweka ndani mpaka Leo hii?Wa kawaida sana , Mkuu
[emoji2322]
Vijana akina Wigelekelo na National Anthem wameshindwa kabisa kukuweka ndani mpaka Leo hii?Wa kawaida sana , Mkuu
[emoji2322]
Wigelekelo best usiseme sijakuita !Wigelekelo rafiki.. Hivi unapendaga nini vilee?? Bado sijakumakii vizuri pullliiizzzzzzzzzzzzzzz🤔🤔!!
Mwehh sikuhizi nimepungua sana nimekua kamodoooo limeishaaaaa😉!Antonnia kitambo sijaona zigo la kuvunja chaga ebu tupie Leo wanasimba tuenjoy
Thank you nawe pia upo mzuri 😍Yaan mcute Kweli 🥰
Nauli toka ulipo mpaka iringa Bei gani uje chap [emoji41]Thank you nawe pia upo mzuri [emoji7]
Ngoja Wigelekelo ajibu hiloVijana akina Wigelekelo na National Anthem wameshindwa kabisa kukuweka ndani mpaka Leo hii?
Asante sanaNauli toka ulipo mpaka iringa Bei gani uje chap [emoji41]
Baridi imepungua mno, ilikuaga 30K to njombe 2yrs back,, iringa nahisi Ni 20k kitambo sijapanda upendo [emoji3]Asante sana
Baridi imepungua miezi hii
Natamani kwenda Njombe
Nauli ya dar to Njombe bei gani ?
Huko ndio kunawafaaWa masaki mizinga mingi na mirefu Kaka tuoneane huruma
AsanteBaridi imepungua mno, ilikuaga 30K to njombe 2yrs back,, iringa nahisi Ni 20k kitambo sijapanda upendo [emoji3]
[emoji41][emoji41]Asante
Ooh sijazoea baridi kabisa , inaweza fika hata 40K kwa sasa , nitakuja kutembea Njombe huko siku moja .
Nauli ya niniAsante sana
Baridi imepungua miezi hii
Natamani kwenda Njombe
Nauli ya Dar to Njombe bei gani ?
Okay Kaka 😊Asikusumbue huyo
Tuendelee kuchat kule
Kaka nimekuachia [emoji3][emoji3] nilikua nachomekea tuAsikusumbue huyo
Tuendelee kuchat kule
Eeh sawaNauli ya nini
Mchuma upo
Nitakupeleka
Asikuzoee bhana
Aisee Leo nalala safiiiiiii long time no see this..itoshe kusema wakubwa wanafaidi