Fortnox
JF-Expert Member
- Jul 23, 2019
- 3,160
- 11,214
Saint Anne tuma salamu kwa watu watatu 


Tuko bize na mateke sisi 🔥🔥🔥🔥🔥Wapi Saint Anne ☺️
.Saint Anne tuma salamu kwa watu watatu![]()
Amna aunt nawapenda watani zangu 😂Aunt kumbe na wewe ni mgomvi ee?🤣🤣
Mkimaliza mselfike sasa sio kwa kufurahi huko!Tuko bize na mateke sisi 🔥🔥🔥🔥🔥
Labda ya nyuma dear maana sura imenichachuka .
Nawaaambiaje Leo bahati ilikuwa yenu ila kwasasaiv pale epl sijaona wakuifunga CITY.Mlete Halaand
Nireteeeni Halaaand
Nireteeeni Halaaand
This is Liverpool![]()
Ngoswe penzi kitovu cha uzembe😁😁😁Moreen kamfanyaje bro?🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Natupia mubashara nikiwa na Baba MtumishiMkimaliza mselfike sasa sio kwa kufurahi huko!
Kidogo saiv anaeweza kumbishia city ni chelseaMlete Halaand
Nireteeeni Halaaand
Nireteeeni Halaaand
This is Liverpool![]()
Weee Juzi niliona umenenepaa!! Umebadili mafuta???Labda ya nyuma dear maana sura imenichachuka .
Umelala au upo hapa
Kuna baridi hadi naogopa kufumbua machoSaint Anne sijakuona kitambo ! Nifanyie wepesi eyes zinaita zile jamaniii
Fanya hivoooo bana ila isiwe siasa zako Anne ☺️Natupia mubashara nikiwa na Baba Mtumishi
Leo niko na LiverDj mlete Saint Anne na wimbo wa Cristian Bella AMERUDI ANALIA