Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 74,675
- 184,105
Ndio izoizo! Acha tu mdogo Wangu! Wametuonea mnooo! Primary wanakula shavu saivi wanefurahii balaa!Ndio zile mnasimamia la 7?
Ila wamewaonea walimu wa Sekondari .
Huwa naona sister analalamika sana,wakati mwingine anafurahi.