Mimi nabaki na list yangu 1, 2. 3. 4. tu. Nimegundua naweza changanya hii list vizuri ikareplace vitu kibao kama Music, movie na football 😂Na pesa ni jawabu la Mambo yote.
Sasa nitaje fupifupi mia Tano Tano na buku ambazo nimezizoea?
Chakula
Hela
Mpira
Muziki
Nikiangalia na Mama Kimbo 😂
Nimemaliza
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Umeona eh, hapo hata kama kikinuka mi naweza jidai hilo shamba la mchicha ni langu na nipo kazini kumwagilia 😂 😂 😂
Sidhani kama litayang'oa hili na lile pale juu kileleni.Asanteeee ☺️☺️☺️
Ila hizo namba subiri kwanza uone la kesho na kesho kutwa 🙂
Ndio, napiga zangu Business. Mambo yatakua safi kabisa. 😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Au umekuja kuchukua mboga za jumla 😄😄
Mimi hata nikiwa na 2 na 3 tu napo ni sawa.Mimi nabaki na list yangu 1, 2. 3. 4. tu. Nimegundua naweza changanya hii list vizuri ikareplace vitu kibao kama Music, movie na football 😂
TuoneNakwambia!! Tumbo limejaa balaa hapaa😑
MkemiaTunakula kinachopatikana balance diet utajua mwenyewee!! Hapa unachota chakula na sahani yakoo hakuna kuremba😁!
Baba Yolly Imekosekana free intanet tu
Karibuni tuuone mchana
Litakutosha sasa....??😎Sidhani kama litayang'oa hili na lile pale juu kileleni.
Tukionana jua napita nalo Moja🏃🏾♀️
Basi ukifika niambie 😁Ndio, napiga zangu Business. Mambo yatakua safi kabisa. 😂😂😂
Na wali ndondooo!! Ilikua nomaa sanaa😁! Tumbo limejaaje hapa🤣!Mkemia
Uone nini ?? Tumbo au??🤔🤔Tuone
Angalia usitengeneze bomu 😀😀Na wali ndondooo!! Ilikua nomaa sanaa😁! Tumbo limejaaje hapa🤣!
Hela , chakula , na nyimbo ni muhimu sana kwangu .Mimi hata nikiwa na 2 na 3 tu napo ni sawa.
Hela na chakula.
Wee acha tu!! Sema nina magnesium hapa😂!Angalia usitengeneze bomu 😀😀
Ndio zile mnasimamia la 7?Ishatumika kwenye Majukumuu siku ile ileee! Yani nilienda kusimamia kama kulipa deni 😂😂! Hebu nikatandike failures kwanza
Naomba Mnihifadhie vodaaa pullliiizzzzzzzzzzzzzzz!!!!
🚶🏼♀️🚶🏼♀️🚶🏼♀️🚶🏼♀️🚶🏼♀️!!