Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,819
- 233,249
Kumbe una mke humu na husemiKwake yeye
Angeniita husband to be
Kumbe una mke humu na husemiKwake yeye
Angeniita husband to be
Umeona ulivyo chizi?..ninavyopakua
Aisee![]()
Kukaanga AuntieWabichi hatua ya kwanza unaweza chagua kuwakaanga au kuwabanika unatka ipi nikuelekeze
😂😂😂Mkwe nimepata loohHahahaha...........yupo kijana wangu mwingine hajaoa ila kwenye negotiations ya Mahari nitakuwa Babu yao hapa
Mwisho wa Mahari ni Ng'ombe 20 tu Kwa wewe Cheupe, manake sisi na hiyo rangi tunajijua tulivyo wadhaifu 🙈🏃🏃🏃
Kwani hilo nenoKumbe una mke humu na husemi


Waoshe wakate vipande upendavyo waweke viungo chumv,ndimu au unaweza tumia venegar, tangawiz pia ukipenda waache dakika kadhaa viungo viingie ndani kisha kaanga ila km utakata vipande vikubwa vzuri zaidi uwachane Kwa juu kidogo kuruhus viungo kuingia ndaniKukaanga Auntie
'Samaki ana vipande vingapii'Nani anajua style ya kupika misamaki mikubwa?
Nimeweka tangawizi na vinegar.Waoshe wakate vipande upendavyo waweke viungo chumv,ndimu au unaweza tumia venegar, tangawiz pia ukipenda waache dakika kadhaa viungo viingie ndani kisha kaanga ila km utakata vipande vikubwa vzuri zaidi uwachane Kwa juu kidogo kuruhus viungo kuingia ndani
Kama kina kiko hapana babu, nisije kulewa bure. Hivi kiko inalewesha babu?😅Usijali Mjukuu..................ningependa nikutumie hiki ila bahati mbaya kina harufu ya Kiko nayovutaga 🙊 ukiweza nenda Bookshop ukikipata nikutumie Salio ununue
HongeraNimeweka tangawizi na vinegar.
Kumbe nimepita mulemule.
Asante Auntie...Bado kukaanga sasa.
Mkwe amefanyaje tena?🤗😂😂😂Mkwe nimepata looh
Inategemea na aina ya tumbaku uliyoweka, ukiweka Ile inayozuiwa unalewa🙊🏃🏃Kama kina kiko hapana babu, nisije kulewa bure. Hivi kiko inalewesha babu?😅
Itabidi nikacheki Bookshop, matumai nitapata huko
Mhhhh labda mimi ni mshamba but kumfanyia samaki marination sio idea nzuri sana sababu ya how soft and tender nyama yake ilivoWaoshe wakate vipande upendavyo waweke viungo chumv,ndimu au unaweza tumia venegar, tangawiz pia ukipenda waache dakika kadhaa viungo viingie ndani kisha kaanga ila km utakata vipande vikubwa vzuri zaidi uwachane Kwa juu kidogo kuruhus viungo kuingia ndani
Sio dakika nying hazizidi 5 maanayngu muda huo anaandaa mafuta ya kukaangiaMhhhh labda mimi ni mshamba but kumfanyia samaki marination sio idea nzuri sana sababu ya how soft and tender nyama yake ilivo
Mie huwa naona mara nyingi kama ni mtu anapenda spices bora nitengeneze sauce ingine pemebeniSio dakika nying hazizidi 5 maanayngu muda huo anaandaa mafuta ya kukaangia
Sema nayo inakaa poaSio dakika nying hazizidi 5 maanayngu muda huo anaandaa mafuta ya kukaangia
Ataula wa chuya leo
Hiyo ngumu 😄😄Ataula wa chuya leo
Ataambulia patupu😋