Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 74,210
- 183,059
Habari za saii Eliā!
Kasalimie katoto kazuriiš!!
Habari za saii Eliā!
Yangu imeisha salama jirani, nishajifungia ndaniSalama kabisa jirani..wewe je
Nimeona muito nakujaaaš¶š¼āāļøš¶š¼āāļøš¶š¼āāļøš¶š¼āāļøš¶š¼āāļøTayari wee njoo kwenye uzi ule tusikie madhambi yakoš¤£š¤£š¤£š¤£
Aisee National Anthem uone upaja uleeeee kwa mbali.šššš
Sawasawa jirani, jirani yetu amehamia kwingine..Yangu imeisha salama jirani, nishajifungia ndani
Yaani sijui kapotelea wapi huyu jirani yetu.
Ushaanza š¶š¶Aisee National Anthem uone upaja uleeeee kwa mbali.šššš
Salama naona unapata sambusa. Vipi amenunua yule jobless mwezangu au ndio unahudumia kila kituš¤£š¤£š¤£š¤£Poa kabisa mzabzab ...za weekend?
Habari za saii njema/salama kabisa AntonniaHabari za saii Eli[emoji113]!
Kasalimie katoto kazurii[emoji7]!!
Huyo jirani ni "mwenda tezi na omo... marejeo hapa...Yaani sijui kapotelea wapi huyu jirani yetu.
Me nammiss hadi nahisi kukonda hapa
Yeaahh....moja kwa afya!Salama naona unapata sambusa. Vipi amenunua yule jobless mwezangu au ndio unahudumia kila kituš¤£š¤£š¤£š¤£
Emu tuoneYaani sijui kapotelea wapi huyu jirani yetu.
Me nammiss hadi nahisi kukonda hapa
Uzi nilikuwa siuoni my jirani
Naona kule wanaume mmefunguka hatareeeeee!! Sisi tunaona nomaaaa!! Kuna vitu ukiviandika kule watu wataš³š³š³š³š³š³š³š³! Hadi weeeeeeš¤š¤š¤š¤š¤!!Aisee National Anthem uone upaja uleeeee kwa mbali.šššš
Pole...itakuwa weekend ni nzuri kwako jirani....Uzi nilikuwa siuoni my jirani
Emu tuone