Amen SisTumesamehewa dhambi hatuna deni
Amelipa yote Yesu hatuna deni
Ni kazi ya thamani yake Yesu
Oooh Msalabaani kwa Mwokozi
Ccy bado uko nipiteFanya Hivo kipenzi barikiwa sana!!
Nasubiria hapa sis akee🙇😘
Wabheja sana mkuuu!! Barikiwa mnoo and have a grea time your t mpendwa! Enjoy✌️
Here waiting kipenziii ,, pitamoo 🙇🙇😘!!Ccy bado uko nipite
Mie niko poa.Wewe mdudu hujambo?🤣
Uongoooo!! Hebu tuonee usintanieeee!!😌😌😌!!Akiyanani tena.
Junia na Baba Yake wamefanya niwe na tumbo kama kiroba cha mchanga.
Niko poaMie niko poa.
Habari ya wewe kijana
Ajajajajajajajajajajajajajjjaaaaaaa sis akeee umewakaaaaaa kinomaaaaaa umeouuugaaaa hatareeeeeeee Hizo Nywele ni zimekutoaaaaa mnooooo siss pendeza sana 😍😍😍😍😘😘😘😘✌️!!
Siku yangu itakuwa nzuri sana..simu inazima charge na umeme miyeyusho usipost mpka nitakapokuita 🥰🥰Usiwaze ngoja nimalizie kupika hapa nisiunguze ntakubless kama zore hadi utachoka mwenyewe!! Ile siku ulipishana nazo leo nakuahidi hadi uwepo kipenzi 😍
Totoo fanya nawe utubless pullliiizzzzzzzzzzzzzzz!!Niko poa
Mdudu mwenzangu umemuona wapi, nimemmissNiko poa
Atakuwa amefichwa mahali🤣🤣Mdudu mwenzangu umemuona wapi, nimemmiss
Nimedinda?🤣🤣🤣🤣🤣Totoo fanya nawe utubless pullliiizzzzzzzzzzzzzzz!!
Au ndio sikuhizi ulidinda kuselfika kabisa!!??🙄🙄😌😌