😂😂😂Sasa kale polisi 😂😂Hawezi kupika ana mikono laini 😙
😂😂Wanafaidi nn na chakula icho Cha pekeanguWatu wana faidi dah
Nisindikize😂😂😂Sasa kale polisi 😂😂
Kijana yupo Mad Max vp hapositaki , nitafuta na kijana mwenzangu lol .
hata hivyo wazee huwa wapo vizuri na wanadekeza ile mbaya.
Uje na mwenzakoUkirudi niite nije niwapikie siku
my crush yupo mbeyaUje na mwenzako
Aisee njoo na Pokermy crush yupo mbeya
sina wa kumbeba 😩
Yani nikiwa kwenye mahusiano na watu wananiiga mm nataka wote muwe single 😠😠😠Ashapata baby mpya
Hahahaha 😂😂Yani nikiwa kwenye mahusiano na watu wananiiga mm nataka wote muwe single 😠😠😠
Babu nini hicho kimefura hapo maeneo ya zipu?View attachment 2379696
Wanasema "Tafutia Juani Ulie Kivulini" ngoja tusubiri kama kivuli kitapatikana [emoji2957]
Hello Friday [emoji1635]
Mje na zawad sasa mkija mikono mitupu nikifungua geti mniite mbwa nimekaa pale 😂😂😂😂Eeh my crush anatosha
Tutampigia video call
Chezea wanyaki wewe 😂
Zawadi ipi tuje nayoMje na zawad sasa mkija mikono mitupu nikifungua geti mniite mbwa nimekaa pale 😂😂😂😂
Sijasikia sauti yako Baba yolly ?Mje na zawad sasa mkija mikono mitupu nikifungua geti mniite mbwa nimekaa pale 😂😂😂😂
Mwaka mzuri sana huuu 😊😊 badae wapi jioni au kulala
Baadae nitakupigia Uwe hewan tuSijasikia sauti yako Baba yolly ?
Kwanini peke yako aunt wakati kuna wenzanko single humu wanataka wife kama wewe kama Mzee wa kupambania na mzabzab 😄😄😂😂Wanafaidi nn na chakula icho Cha pekeangu