Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Kuna kipindi kanuni inakuwa violated 😄😄😄😄 sema wakipata kivulini wanaishia hata segerea wachache hupatia kivulini na kulia kivulini
Hahaha......Mimi pia nimeamua kutengeneza gallery kama za Wachina, nataka Vijana wangu wajifunze namna hela inatafutwa Kwa shida.

Hela lazima iwe ya kuitolea Jasho, na Mwanaume lazima ajifunze kuitafuta
 
National Anthem
1665185831113.png
 
Hahaha......Mimi pia nimeamua kutengeneza gallery kama za Wachina, nataka Vijana wangu wajifunze namna hela inatafutwa Kwa shida.

Hela lazima iwe ya kuitolea Jasho, na Mwanaume lazima ajifunze kuitafuta
😄😄😄😄 mtu unawaza na kuumiza kichwa hela iingie.. Unawaza na kufikiri hadi unahisi huna tumbo wala kitu kinacho itwa usingizi..
 
Yaani babu we acha tu, kuna vijana sio wema kabisa
Inabidi kuwa standby muda wote😀
Hahahaha.................yaani kabisa, alafu walivyo wajanja wamejua nimefuga Mbwa Wakali wao Kila wakija wanakuja na Nyama wanawapa Mbwa then wanawatorosha Wajukuu zangu 🤪
 
Back
Top Bottom