Dormant Account
JF-Expert Member
- Apr 5, 2022
- 11,307
- 32,796
Shemeji yako huyoJeez.. Umenoga sana madam.. Have a bright Monday,
Shemeji yako huyoJeez.. Umenoga sana madam.. Have a bright Monday,
KasafiriYolly yolly umemuacha wapi
Mashallah bro. Nipo mbali mita 100.Shemeji yako huyo
Hatari sana mkuu[emoji91][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]nimedownload mtandao
Na hivi Sina hela niambie nije kula dada wa faida..Emu njoo huku Mzinga kwanza
Dah jamaa upo kembamba kinomaaa 😀😀Na hivi Sina hela niambie nije kula dada wa faida..
View attachment 2375951
National Anthem niongeze kula au inatosha?
😔😔😔😔😔😔Almost there National Anthem View attachment 2375811
🤨🤨🤨🤨😵😵😵
Basi jiandae alafu urudi kulala...😉
Asante dada mzuriUmependeza mtakatifu
Na sikuchukua kila kitu imagine.Teh! 😂😂😂
Kwahiyo mdogo wangu, hivyo vyote kwenye sahani ulivimaliza ???
Sikualikwa,Ni nzuri sana my lovely…namuona Saint Anne katokelezea…Sijui Ali alikwa na nani Mungu baba Kwa hiyo sherehe ikamfanya atokelezee hivyo😃😃
Mbona ulinipiga chenga sasa yale maombi??Mchumba [emoji3590]
🤣 umemuona??Umependeza kuliko bibi harusi sijapenda
KwendraaaUnakula hivi afu upo single
Thank you dearulipendeza dear
Wewe ndio ulipoteaMbona ulinipiga chenga sasa yale maombi??
Man u sijawasahau.
Matokeo yenu ninayo..Subirini nitulie tuwasimange.
Vasco da gama Leo wapo?[emoji3526][emoji38][emoji125][emoji125][emoji125]Nimepanda gari ya Tunduma hapa akiyanani hadi ngoma za sikio zinauma.
Kuna watu wa mbozi wanapiga kelele..Moja mbele jingine nyuma yanaongea utadhani wasukuma.
Nikaweka earphone bado hazijafua dafu pumbavu sana.