Shangazi 🥰
Hutaki....???🥺🥺
Sitaki 😔😔Hutaki....???🥺🥺
Chief imenikumbusha ile user name ya 'kijana wa hovyo' ili bamba sana
😀😀😀😀 Bwanaaa weee hata ID soon naachana nayo.. Naenda kuishi kijijini nikirudi password sitokuwa nakumbuka nita create ingineChief imenikumbusha ile user name ya 'kijana wa hovyo' ili bamba sana
Kwa nn uliiacha
Aunt yangu yangu nishaambiwa una jicho la ATM mimi nani niachie hii mibaraka?? 🤣🤣🤣🤣Hapo kwenye jicho la ATM ndo nimepafurahia 😂😂😂😂aunt nakujengea sanamu kabisa
Hiyo mpya utajiita mzee wa busara🤣🤣🤣😀😀😀😀 Bwanaaa weee hata ID soon naachana nayo.. Naenda kuishi kijijini nikirudi password sitokuwa nakumbuka nita create ingine
Nitaandamana kupinga iyo I'd ya mzee wa busaraHiyo mpya utajiita mzee wa busara🤣🤣🤣
😆😆😆😆 Id mpya, itakuwa : kisichowezekan au 2² 😄😄😄Hiyo mpya utajiita mzee wa busara🤣🤣🤣
😂😂😂Ndo nashangaa jicho la kuombea mkopo wew aunt ukija kwangu ni kukopa tu bila riba nikimuangalia meneja tu pale bank 😂😂😂Aunt yangu yangu nishaambiwa una jicho la ATM mimi nani niachie hii mibaraka?? 🤣🤣🤣🤣