reymage
JF-Expert Member
- Aug 5, 2021
- 12,461
- 29,384
United wameniharibia siku Sasa nikalewee
Unanikumbusha mbali sana kuna jamaa yangu alikia na jina kama lako Zulu...aendelee kulala kwa amani🙏Y
Yaaaan😂… just one halaaaaand ???!!!!! Come on man
Hawezi kusababisha ukufe🤣
Njoo tulewe mchumbaHunipendi eeh[emoji30]
Leo mchumba umenifurahisha sana...my fav beer nimeimiss sanaNjoo tulewe mchumba View attachment 2375054
anendeelee kulala kwa amani🙏Unanikumbusha mbali sana kuna jamaa yangu alikia na jina kama lako Zulu...aendelee kulala kwa amani🙏
I thought tumekubaliana tunakula pilau??🙄🙄Lizzy nakusubiri tuondokeView attachment 2375061
Teh! 😂😂😂
[emoji3]mnatamba sio[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]watu wa arsenal tuko hviiiiView attachment 2375043
Sent using Jamii Forums mobile app
Dah acha tu mkuuMko na wakati mgumu msimu huu[emoji28] pole sana
Baada ya kula pilau 🙂🙂 then 📽️I thought tumekubaliana tunakula pilau??🙄🙄View attachment 2375086
Tunaangalia nini??Baada ya kula pilau 🙂🙂 then 📽️
Au kulala mapemaa kesho jumatatu 🙂Tunaangalia nini??
Weekend inaweza kuendelea lakini...😊Au kulala mapemaa kesho jumatatu 🙂
Hadi jumatano eeh ndio weekend iishe🙂🙂Weekend inaweza kuendelea lakini...😊