Aaliyyah
JF-Expert Member
- Mar 20, 2022
- 20,261
- 49,201
Umpendeza[emoji3059]View attachment 2374696
Umpendeza[emoji3059]View attachment 2374696
Hatujambo vipi Wew dearWanaselfika hamjambo jaman..nimewahamu kishenzi
Asante Auntie[emoji3059]Umpendeza
Ulinoga mtoto wa iwambi
Kwani tulikubalianaje jamani LizzyYani hata sijatumia tayari unaninyang'anya??🥺🥺🥺
Leo nimepika vizuri ee 🙂🙂
Nile hivi hafu nikashangilie Taifa. Mbona njaa inaanza 20 minutes later.
ulipendeza dear
Sana 🤗🤗Leo nimepika vizuri ee 🙂🙂
Sie wenye vitambi sio kama tunapenda....inatubidi!!!😵Nile hivi hafu nikashangilie Taifa. Mbona njaa inaanza 20 minutes later.
Yolly yolly 😍 ni miss ubungo ajae🤣 yolly yolly huyu huyu unayemsema ana mguu kama muwa kilombero?
Unakula hivi afu upo single
Umependeza kuliko bibi harusi sijapenda[emoji3059]View attachment 2374696
Mchumba [emoji3590][emoji3059]View attachment 2374696
Shemeji zake tukiwa kwenye kamati ya u-miss atashinda kwa kishindo kizito kweri kweriiiiii.Yolly yolly 😍 ni miss ubungo ajae
Tutapika woteSana 🤗🤗
Pilau ya jioni utapika wewe au mimi??🤓
Ni nzuri sana my lovely…namuona Saint Anne katokelezea…Sijui Ali alikwa na nani Mungu baba Kwa hiyo sherehe ikamfanya atokelezee hivyo😃😃Hatujambo vipi Wew dear