myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,136
Salama kabisa jirani..Umeamkaje leo jirani.Habari ya asubuhi jirani yangu
Mungu akupe siku njema..
Salama kabisa jirani..Umeamkaje leo jirani.Habari ya asubuhi jirani yangu
Nipo mchumba!Mchumba Jack Palladino
Uko wapi?
Hapa Wapi babuu??? Kweli upo vizuri granpa hadi uvuvi lol hongeraaa✌️✌️!!View attachment 2368387
Wanasema usitunze Mayai yote kwenye kapu Moja, baada ya kulima Sasa ni Kuvua 🤪💪
Good morning 🥂
Huku nimeamka bukheri wa afyaSalama kabisa jirani..Umeamkaje leo jirani.
Mungu akupe siku njema..
hongera unanishawishi nipate baby mpya 😝😝😝.[emoji275]msionee kimya jamn nipo nabebika.........
Upo single ww ni nyoka [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahaha[emoji275]msionee kimya jamn nipo nabebika.........
Upo single ww ni nyoka [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hujaniaga 😟😟
Selfika basi mkuu!! Wengi hawapoooAll my eyes open
Lol kimeo changu kinazinguaa kinomaaaa Kamera imeharibika!Waiting for you
Wacha tupambane kuepuka aibu za kuomba ndugu watusaidie kusomesha vijana wetu 🤪Hapa Wapi babuu??? Kweli upo vizuri granpa hadi uvuvi lol hongeraaa✌️✌️!!
Hako ka emoji kako sasa!!
Morning ✋!
Kabisa babu ukijipanga mapema life halikusumbui kabisa!! Kumbe unakaa Musoma babu?? Aiseee!!Wacha tupambane kuepuka aibu za kuomba ndugu watusaidie kusomesha vijana wetu 🤪
Hapa ni Musoma eneo linajulikana kama Busekera inapoishia Barabara ya Majita.
Hahahah ooh kumbe izo vocha zinatoka bariadi hapo tu [emoji23][emoji23][emoji23] basii imeisha iyoo nitakuja truest me.Na wewe karibu Bariadi
Ukirudi nyuma kidogo hapo unakutana na vijiji vya Bukima, Butata, MakojoWacha tupambane kuepuka aibu za kuomba ndugu watusaidie kusomesha vijana wetu 🤪
Hapa ni Musoma eneo linajulikana kama Busekera inapoishia Barabara ya Majita.
Tuma muamalaHakika
😊😊😊😊 Nibebee hiyo, hiyo utayobakiza