ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 54,504
- 126,843
Mambo ni mob sana mkuu, nilichelewa..Nimekuita kabisa mkuu Saint Anne mpe samare
Mambo ni mob sana mkuu, nilichelewa..Nimekuita kabisa mkuu Saint Anne mpe samare
Wewe Mzungu wa roho,mpare handsome.Kaa kwa utulivu, hadi unifumbue kwa hayo mafumbo yako.
Ulifikia wapi process za ndoa mkuu?? Kila la kheri katika maandalizi mpendwa!✌️✌️Dua la mwewe!
Nimekujua! nia yako nikose amani.
Usiwe roho mbaya Anne...Bora amekosa[emoji1787]
Yeye ni mchoyo zake
Hahaha usinitoe kwenye reli mkuu.Wewe Mzungu wa roho,mpare handsome.
Haya tuendelee.
Ukiwa mchoyo matokeo yake ni haya [emoji1787]Usiwe roho mbaya Anne...
Tuone basi pichaHahaha usinitoe kwenye reli mkuu.
😄😄😄 Tuendlee kupambana ipo siku moyaa tu mateso yataishaHuna msaada kabisa man. Kabisa yaani we sio mtu. 🤣🤣
Sina tabia ya uchoyo hata kidogo. Naomba tu utambulisho ikiwezekana [emoji1787][emoji1787]Ukiwa mchoyo matokeo yake ni haya [emoji1787]
Ntarudia kesho mkuu Tatizo chajii 2% nikiwekaga simu chaji nazima kila kitu hadi ijae! Saint Anne bado nakudai selfii uloniahidi naiweka kiporo keshooMbona sijaona kitu, naomba marudio jamani. Antonnia
Sawa madam mwenye shape lake, umeeleweka. Mda wa kulea ndoa[emoji1787]Ntarudia kesho mkuu Tatizo chajii 2% nikiwekaga simu chaji nazima kila kitu hadi ijae!
Nilipost hapa juziMtell Achangamkee baseee nawasubiria hapaa [emoji144][emoji144]
Nishaweka [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ntarudia kesho mkuu Tatizo chajii 2% nikiwekaga simu chaji nazima kila kitu hadi ijae! Saint Anne bado nakudai selfii uloniahidi naiweka kiporo keshoo
Hebu tuone kwanza pichaSina tabia ya uchoyo hata kidogo. Naomba tu utambulisho ikiwezekana [emoji1787][emoji1787]
hahahaha.Kwa hela gani niliyonayo🤣🤣🤣
Wabheja sana kipenzi bora nitarara vizuri leo!!
irudieNishaweka [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nimeona nimeonaa sepuuuu moja matata sanaaa 🤩😘♥️😘Nishaweka [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwani tunazungumzia uchoyo gani. Manake sie wengine kuna mambo hatuna uchoyo hata kidogo.Hebu tuone kwanza picha