Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 71,988
- 177,212
Watu na lipssssss zenyuuuuuuu👌👌👌👌
Pendeza sana madam yaniiii umenooonaaaa hatare 😘😘😘🤩♥️
Watu na lipssssss zenyuuuuuuu👌👌👌👌
Bora umeniredirect kwahio foto umenirahishia!! Hapo ukute kalikua lodge kameviiimbaaa kenyewe![]()


kamepiga kimoko kamejichokea haha! Corrasco acha ukorofi, walioko single wanafurahia mengi zikiwemo selfies 
Bora umeniredirect kwahio foto umenirahishia!! Hapo ukute kalikua lodge kameviiimbaaa kenyewe 😂😂
Asante dearWatu na lipssssss zenyuuuuuuu👌👌👌👌
Pendeza sana madam yaniiii umenooonaaaa hatare 😘😘😘🤩♥️
We mkuu tulishakubaliana hakuna mahaba tena 2022 hadi further notice, naona umegeuza kibaoCarrasco putin naona mambo ni moto eehView attachment 2369973

Ndioo ndiooooooo!!Carrasco putin naona mambo ni moto eehView attachment 2369973
Kabisaaa muite anitolee ule uchuro 😂😂😂! Atakua keshafungiwa na babe ake Yolly yolly!!😂😂😂
aje kutoa dislike sasa
😄😄 Huwezi kuacha kwa ghaflaa mkuu, unaacha kidogo kidogoooWe mkuu tulishakubaliana hakuna mahaba tena 2022 hadi further notice, naona umegeuza kibao![]()
Tutakoma walai ametuvimbiaaajee na Yolly ake mwenyewe!!kamepiga kimoko kamejichokea haha! Corrasco acha ukorofi, walioko single wanafurahia mengi zikiwemo selfies
![]()
Carrasco putin njoo hapa utoe dislike zako .Kabisaaa muite anitolee ule uchuro 😂😂😂! Atakua keshafungiwa na babe Yolly yolly!!
Kuna watu ni vichaa asee
Tunamalizia kuedit Madame 😁Saint Anne Nasubiria blessings zako niraree nakutegemeaaa usiniangushee
Chaji Yangu inakaribia kuisha do hurry Jamani nikiiweka chaji naingia kurara !!Tunamalizia kuedit Madame 😁
Haha, haya mambo magumu sana ase. Unaachaje kula vitu vitam, unamuachia nani sasaHuwezi kuacha kwa ghaflaa mkuu, unaacha kidogo kidogooo

Hiyo cat nakumbuka 2012 nililkuwa naifanyia maintenance kwenye datacenter ya kampuni flani hivi, walikuwa wana CAT, Cummins.. Zamani ililuwa raha sana.. Hizo za Logic nilikuwa nazibadilisha sana kutoka kwenye single phase to three phaseKuna watu ni vichaa asee
Ngoja nimwambie baba mtumishi asiirembeshe sana😁Chaji Yangu inakaribia kuisha do hurry Jamanii!
Mtell Achangamkee baseee nawasubiria hapaa 🙇🙇Ngoja nimwambie baba mtumishi asiirembeshe sana😁
Muosha huoshwaHaha, haya mambo magumu sana ase. Unaachaje kula vitu vitam, unamuachia nani sasa![]()
Sema kuishi na mwanamke mmoja inahitaji uwe na moyo sana, 😊😊😊 nimejaribu nimejaribu nimeshindwa acha waingie darasani wasome.. 😄😄😄Haha, haya mambo magumu sana ase. Unaachaje kula vitu vitam, unamuachia nani sasa![]()
Ukimaanisha nini AnneMuosha huoshwa