ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 52,428
- 118,975
Haya niambie kosa langu nini, Mr atapata tu mzigo, ila usipende sana kukaa mbali na Mr...ni mbaya kwa afya ya mahusiano
Haujafika

Haya niambie kosa langu nini, Mr atapata tu mzigo, ila usipende sana kukaa mbali na Mr...ni mbaya kwa afya ya mahusiano
Haujafika

Bwanaaa weeee.. Kazi sana, kuwa na mmoja, unakuwa nao hata wanne issue ni ku wa nyoosha kwenye mstari, rahisi sana mwanamke kumzuia asipigwe pigwe nje kuliko Me.. hapa nilikuwa namtega nione, toka saa 12 kapiga kimyaaa kesho acha nimuongezee msaidizii 😄😄Kuwa na mwanamke mmoja ufe mapema, wakiwa wawili walau stress zinapungua. Sema unaweza toka nje ukakutana na mabalaa pia tricky!!
Utavuna unachopanda.Haya niambie kosa langu nini, Mr atapata tu mzigo, ila usipende sana kukaa mbali na Mr...ni mbaya kwa afya ya mahusiano![]()
baadae Anne tupige stori ☺😂😂😂😂😂😂
Haujafika
Kwa hela gani niliyonayo🤣🤣🤣hahahahahaha.kn bolt
Weweeee 🔥🔥🔥🔥🔥Barikiwa mnooo Lovelovie sis akee I really enjoyed the moment we had!😘😘😘 !
sophy27 Mjep Saint Anne Carrasco putin National Anthem ERoni
Shangazi wa huyo mimi 🔥🔥🔥🔥 hakuna mwingine kama wewe 😍😍 upo Shangazi mmoja tu JF wengine copyBarikiwa mnooo Lovelovie sis akee I really enjoyed the moment we had!😘😘😘 !
sophy27 Mjep Saint Anne Carrasco putin National Anthem ERoni
Wera wera madam mrembo sanaBarikiwa mnooo Lovelovie sis akee I really enjoyed the moment we had!😘😘😘 !
sophy27 Mjep Saint Anne Carrasco putin National Anthem ERoni
Weee sema kweli mjomba!!😉😉Shangazi wa huyo mimi 🔥🔥🔥🔥 hakuna mwingine kama wewe 😍😍 upo Shangazi mmoja tu JF wengine copy
Utamwambia mr Vocha niliweka!!😘😘🤩Weweeee 🔥🔥🔥🔥🔥
Halimpati kuku🥂Dua la mwewe!
Nimekujua! nia yako nikose amani.
Hahaha naona leo uneamua ni mwendo wa mafumbo tuUtavuna unachopanda.


Ngoja naye aonje machungu ya kukosa picha 🤣Utamwambia mr Vocha niliweka!!😘😘🤩
Hebu tupia kile kidevu tupoze makali ya sikuHahaha naona leo uneamua ni mwendo wa mafumbo tu![]()
Sawa😍baadae Anne tupige stori ☺
naingia kulala
Nimekuita kabisa mkuu Saint Anne mpe samareMbona sijaona kitu, naomba marudio jamani.
Bora amekosa🤣Nimekuita kabisa mkuu Saint Anne mpe samare
Kaa kwa utulivu, hadi unifumbue kwa hayo mafumbo yako.Hebu tupia kile kidevu tupoze makali ya siku