Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,509
- 235,214
[emoji7][emoji7][emoji7]Kila la kheri kipendhiiii!!
Kama kweli vile[emoji1787]
[emoji7][emoji7][emoji7]Kila la kheri kipendhiiii!!
Sasaa jee!![emoji7][emoji7][emoji7]
Kama kweli vile[emoji1787]
Agape tena[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwani hairuhusiwi kuwa na mahusiano ya agape [emoji2960]
Alikuwa wapi huyu ninavyomchania Kamanda mashairi?Majibuuu Saint Anne
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sasaa jee!!
tutaangalia ratiba ya majukumuTufanye kesho mchana Mkuu
Ndio kitu Gani hicho?Agape tena[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Watu wanataka u t e l e z i. [emoji2089][emoji2089]
Sawatutaangalia ratiba ya majukumu
Dawa ya kufanya joints za mwili zikae sawa.Ndio kitu Gani hicho?
hahahahahaSawa
Kikubwa isiwe usiku Mkuu.
Mchana huwa nazurula mitaani huko, tutaonana.
Woooiii[emoji7][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]Saint Anne play uone BL anayarudii na sis akeee Lovelovie [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Si zile dawa za panya zinaitwa indocin na muscle plus[emoji23]Dawa ya kufanya joints za mwili zikae sawa.
Unataka kupasuka mbavu???🏃🏼♀️🏃🏼♀️🏃🏼♀️😁🏃🏼♀️Woooiii[emoji7][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Iachie boss ledi tuone mlivyokuwa mnacheza[emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]
Tuone Jamani [emoji7]Unataka kupasuka mbavu???[emoji2092][emoji2092][emoji2092][emoji16][emoji2092]
Amenn Amen mkuu!! Usijaree Ndo mambo za mahusiano zilivyo All the bests na wizo mupya broh!!✌️✌️Msema kweli mpenzi wa Mungu,
Kuna mahali tulipishana na mtarajiwa, hata hivyo nimeona hii isiwe sabb ya mimi kutotimiza ndoto yangu ya kuoa..
Kwa sasa nipo kwenye meza ya mazungumzo na mlimbwende mwingine tukijadiliana terms and conditions..
Panapo majaliwa tukifikia maridhiano, nitatoa tamko rasmi kwa wote mnaonitakia mema ndg yenu..
Nashukuru sana mpendwa kwa kujali maendeleo yangu..
Ndio Imani Yangu inaniaminisha Hilo kabisaaa!! Imegoma kukataa !![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unaamini?[emoji174]
Ana bahati yake duniani hapa amekutaka na de Super Boss lediWeeee Lovelovie ni anachezaaaa balaaaa! Nilifurahi na roho yangu nakwambiaaa alicheza mziki nikafurahiiii [emoji8][emoji8][emoji8][emoji126][emoji126][emoji126]
Kivuliii💃Kila niendako ananifuataView attachment 2370031
Mwee [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ndio Imani Yangu inaniaminisha Hilo kabisaaa!! Imegoma kukataa !!
Enjoy mdogo wangu kupendwa rahaa!!