Zulu man
JF-Expert Member
- Nov 28, 2020
- 6,327
- 16,579
Aiseeh😅Kabla sijaenda kupigwa na jua,ngoja nimalizie kuminya ndude hizi.
Maisha ni hayahaya[emoji1787][emoji23][emoji23]View attachment 2369407
Aiseeh😅Kabla sijaenda kupigwa na jua,ngoja nimalizie kuminya ndude hizi.
Maisha ni hayahaya[emoji1787][emoji23][emoji23]View attachment 2369407
Marahabaaa dada yangu mzuri 😊😊 kaka yako nipo nasafisha mabanda ya kuku, hoi hapa
Napiga hapa uji wa alishe na skonzi 😊😊 karibuPiga kazi leo bimkubwa aongeze toka 2000 mpaka aftatu
😄😄😄😄 Karibu skonzi na uji lishe, mama leo kanikazi hataki niwake sukari kaweka chumvi ila mtaamuUshaamka kusafisha banda my wangu maana stak ukose kua online siku ya reooooo😆
mzabzab kila siku analia humu humuoni 😟😟aibu jamani
hadi nimzoeee
vipi mzima wewe ?
Asante aiseeeeNapiga hapa uji wa alishe na skonzi 😊😊 karibu
😁😁😁Asante sana kiongos😄😄😄😄 Karibu skonzi na uji lishe, mama leo kanikazi hataki niwake sukari kaweka chumvi ila mtaamu
😊😊😊 Kitu kitraamu, 😋😋😋 ingine nampelekea dada nyumbaniAsante aiseeee
Kula zqko ushibe uongeze nguvu kwa dada wa kazi
Nitoe baya wapi, mie mtoto wa mama, naishi kwetu 😄😄😄😄 kula bure kulala bure😁😁😁Asante sana kiongos
Jimwage zako maana huna baya
Ambae hajao labda umuumbe 😂😂😂 au pambana na Carrasco putin maana kaachika tayariana wake zake humu
nataka awe hajaoa
Dada anafaidi aiseeee ujitahidi uoe kabisa maana asubuh mkate usiku asali😊😊😊 Kitu kitraamu, 😋😋😋 ingine nampelekea dada nyumbaniView attachment 2369468
nitabaki single hadi nimpateAmbae hajao labda umuumbe 😂😂😂 au pambana na Carrasco putin maana kaachika tayari
Jana ukaacha kutuekea vinyimbo vya kulalia au ndo dada alikua ameshikilia usukaniNitoe baya wapi, mie mtoto wa mama, naishi kwetu 😄😄😄😄 kula bure kulala bure
Kuoa wewe mwenyewe si unaona ulivyonipa makavu, sinq hela wala kazi, zaidi ya kulelewa home.. Maana mama siku aki charuka nafukuzwaa nitapeleka wapi toto ya watu 😊😊Dada anafaidi aiseeee ujitahidi uoe kabisa maana asubuh mkate usiku asali
Bundle bunlde si unaona hata sasa napumilia machineJana ukaacha kutuekea vinyimbo vya kulalia au ndo dada alikua ameshikilia usukani
👏👏👏 Pataziba, kamata hata Wigelekelo yupo singlenitabaki single hadi nimpate
bado hajaaachika anapata tu mahaba mazito
Hahahaa. DahKabla sijaenda kupigwa na jua,ngoja nimalizie kuminya ndude hizi.
Maisha ni hayahaya[emoji1787][emoji23][emoji23]View attachment 2369407
Ndyo matatizo ya kuwa single 😂😂😂😂😂😂Kabla sijaenda kupigwa na jua,ngoja nimalizie kuminya ndude hizi.
Maisha ni hayahaya[emoji1787][emoji23][emoji23]View attachment 2369407
Ushindwe ww kijana hatuwezi kuachana ndyo Kwanza penzi kama limezaliwa upya kesho naenda kulala kwao [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ambae hajao labda umuumbe [emoji23][emoji23][emoji23] au pambana na Carrasco putin maana kaachika tayari